Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dola kaziniNdo nn sasa hiyo
Biashara ya kupandisha bendera? Au hujui maana ya biashara?Magereza inafanya biashara na kuzalisha siku hizi.
Usikute hapo wamelamba tenda.
Unazani CDM huwa haitoi tenda za kupamba kumbi na kuweka bendela pale Mlimani city? Biashara unayoijua wewe ni ya duka tu au sio?Biashara ya kupandisha bendera?? Au hujui maana ya biashara??
Ya mwaka gani?Dola kazini
Tutoe tenda ya kupandisha bendera? Na Bavicha wana kz gani? Usiifananishe Chadema na CCM iliyokataliwa hadi na wanachama wake.Unazani CDM huwa haitoi tenda za kupamba kumbi na kuweka bendela pale Mlimani city? Biashara unayoijua wewe ni ya duka tu au sio?
Magereza inafanya biashara na kuzalisha siku hizi.
Usikute hapo wamelamba tenda.
Biashara ya kupandisha bendera? Au hujui maana ya biashara?
Hiyo ni tenda imelipiwa na CCM,tatizo nyie pesa zenu za ruzuku mnanywea konyagi.Tutoe tenda ya kupandisha bendera?? Na Bavicha wana kz gani ?? Usiifananishe chadema na ccm iliyokataliwa hadi na wanachama wke
Tunaomba ushahidi wa malipo.Hiyo ni tenda imelipiwa na CCM,tatizo nyie pesa zenu za ruzuku mnanywea konyagi.