Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ni aibu kubwa sana kwa chama kinachojiita kikongwe kuliko chama chochote barani Afrika, kikifanya mambo ya kitoto kiasi hicho!Hawa watu wameshajikatia tamaa na sasa wameamua semeni mtavyosema ila sisi hatujali.
Kama ni kupoteza,wameshapoteza sasa kwanini wahangaike huku hata muda umeshawatupa mkono?
Hata ile fomu yao kuandikwa ni ya kwenda kugombea uongozi wa vyombo vya dola sio tu ilikuwa lengo ni kutisha,bali ile ilikuwa ni dalili nyingine ya kukiri kukataa kwao tamaa na hivyo hawana tena cha kupoteza(hawawezi poteza mara mbili).
Hata kitendo hiki cha leo ni ishara nyingine ya wao kujikatia tamaa unless huduma hii ya kupandishiwa bendera wameilipa serikalini.
Wangekuwa wanaheshimu wapiga kura,wengeonyesha document kulipia huduma hii au kutoa ufafanuzi lakini kwakuwa hawajali na wamejikatia tamaa,wametuacha tuseme tunavyoweza ila wao hawajali.
Tunaomba document yenye control number kama uthibitisho wa kulipia hii huduma serikalini vinginevyo msilaumu watu kwa wanayoyasema mitandaoni kuanzia huko twitter,hapa JF na kwingineko.
View attachment 1500216
Aiseee ccm wamejichokea , hadi kupandisha bendera wanashindwa..wkt Kuna majo bless akina mgonjwa mtambuka, bia yangu..mama ntilie wa kawe..USSR, Yehova, sumve, na kipara kipya wapo tu na hawana kz yyte..au nao wamegoma??Ndiyo hapo ujuwe kuwa lumumba hakuna mwenye uwezo wa kutumia angalau akili alizopewa bure na mungu
Inashangaza sana!!Ni aibu kubwa sana kwa chama kinachojiita kikongwe kuliko chama chochote barani Afrika, kikifanya mambo ya kitoto kiasi hicho!
Kama wamewalipa magereza kuna tatizo gani? Tatizo nyie pesa za ruzuku mnanywea konyagi tu.Alafu kuna mtu aliwaambia wapinzani wasipofuate sheria, wataishia jela!!!Sasa hapa sijui wao ndio wanazingatia hizo sheria?!
Nenda kaulize magereza. Kwa sasa magereza inazalisha siyo kama zamani, hayo ndiyo matumizi ya ruzuku. Siyo ruzuku yenu mnayopewa mnaishia kuinywea konyagi.Tunaomba ushahidi wa malipo.
Kumbe na wewe huna uhakika!!Kama wamewalipa magereza kuna tatizo gani? Tatizo nyie pesa za ruzuku mnanywea konyagi tu.
Magereza kwa sasa wako kama JKT wanazalisha hata nyinyi Chadema mnaweza kuwapa tenda yoyote.Hii kashfa ni kubwa kiasi inaweza kumtoa mtu madarakani kwa nchi zilizo serious kwenye kusimamia sheria na utawala bora. Huwezi kutumia jeshi kwenye shughuli zako za Kisiasa kwenye mfumo huu.
Haya ni matusi kwa watanzania wote.
Aiseee ccm wamejichokea , hadi kupandisha bendera wanashindwa..wkt Kuna majo bless akina mgonjwa mtambuka, bia yangu..mama ntilie wa kawe..USSR, Yehova, sumve, na kipara kipya wapo tu na hawana kz yyte..au nao wamegoma??
Picha inasema kwamba., Ndg, Mwenezi Polepole amepungukiwa maarifa kabisa, kitendo cha kutumia wafungwa kupandisha Bendera za Chama!!??Hawa watu wameshajikatia tamaa na sasa wameamua semeni mtavyosema ila sisi hatujali.
Kama ni kupoteza,wameshapoteza sasa kwanini wahangaike huku hata muda umeshawatupa mkono?
Hata ile fomu yao kuandikwa ni ya kwenda kugombea uongozi wa vyombo vya dola sio tu ilikuwa lengo ni kutisha,bali ile ilikuwa ni dalili nyingine ya kukiri kukataa kwao tamaa na hivyo hawana tena cha kupoteza(hawawezi poteza mara mbili).
Hata kitendo hiki cha leo ni ishara nyingine ya wao kujikatia tamaa unless huduma hii ya kupandishiwa bendera wameilipa serikalini.
Wangekuwa wanaheshimu wapiga kura,wengeonyesha document kulipia huduma hii au kutoa ufafanuzi lakini kwakuwa hawajali na wamejikatia tamaa,wametuacha tuseme tunavyoweza ila wao hawajali.
Tunaomba document yenye control number kama uthibitisho wa kulipia hii huduma serikalini vinginevyo msilaumu watu kwa wanayoyasema mitandaoni kuanzia huko twitter,hapa JF na kwingineko.
View attachment 1500216
Toka maktaba
18 Dec 2019
Dar es Salaam, Tanzania
BENDERA za CHADEMA zaondolewa USIKU wa giza
Kikosi kinachodhaniwa ni cha polisi kilionekana maeneo ya Mlimani city wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Jana usiku tarehe 17 disemba 2019, na bendera zote za chama cha CHADEMA ziliondolewa. Mlimani City kuna vikao vya chama cha CHADEMA kuandaa mkutano mkuu wa kuteua viongozi wa chama kama inavyotakiwa na sheria za nchi na taratibu za Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa.
Naona umeamua kuongopa tu maana huna namnaHiyo ni tenda imelipiwa na CCM,tatizo nyie pesa zenu za ruzuku mnanywea konyagi.
Tatizo nyinyi mmekariri magereza ya zamani na si hii ya Magufuli. Magereza ya sasa ni kama JKT wanazalisha na wanatakiwa wajitosheleze kwa kila kitu na si kutegemea ruzuku toka serikalini. Hata nyinyi Chadema mkiwataka wawafanyie kazi haikatazwi ili mradi muwalipe. Magufuli amebadilisha mambo mengi sana tatizo nyinyi bado mna taswira ya magereza za zamani.Kumbe na wewe huna uhakika!!
Acha kupotosha ww..mmefeli tena mmetokotaMagereza kwa sasa wako kama JKT wanazalisha hata nyinyi Chadema mnaweza kuwapa tenda yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia kipara kipya na @wakudadavua hao wamepewa special offer ya kucheza ngoma kesho dodoma kwenye kikao cha mabosi wao.