Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Utajiri wa CCMAGEREZA ni questionable!

Hazina yetu lazima wameibaka.
 
Aiseee ccm wamejichokea , hadi kupandisha bendera wanashindwa..wkt Kuna majo bless akina mgonjwa mtambuka, bia yangu..mama ntilie wa kawe..USSR, Yehova, sumve, na kipara kipya wapo tu na hawana kz yyte..au nao wamegoma??
Kwi kwi kwi! Umemsahau kubwa lao MOTOCHINI
 
Hiyo ndiyo ile umefiwa una kodisha watu kulia msibani Wapo wapi Vijana wa Chama kufanya kazi hiyo kweli Chama hakina mvuto tena
 
Jifunze kuandika vizuri kwanza alafu ndio uje kujenga hoja!
 
Hiyo ndiyo ile umefiwa una kodisha watu kulia msibani Wapo wapi Vijana wa Chama kufanya kazi hiyo kweli Chama hakina mvuto tena
Kwani ruzuku ina kazi gani hadi uchukue vijana? Tatizo nyie ruzuku ndiyo imekuwa ya kunywea konyagi.
 
Hata wewe unaweza kuwatumia wafungwa kwa shughuli yoyote ila kuna malipo unalipia, Sio kesi!
Mimi washanivunia sana mpunga
Itumie vema akili , usipelekeshwe na tumbo
 
Wamekodishwa. Hawafanyi bure. Hata nyie mkitaka fuateni taratibu mta wapata.
Tegemeeni hilo jibu kesho toka Slow Slow
 
Kumbe na kenyewe kalitaka kugombea?
@Wakudadavuwa homa na pressure juu baada kuambiwa watapambana na Silinde huko Momba.
Ndio maana hata upupu wake hapa JF siku hizi huuoni
 
Watu hawaelewi mpka sasa dhana ya uchumi wa kati..Naona bado wapo na Mawazo ya umaskini maskini. Magereza inatakiwa ijiendeshe yenyewe kwa kutumia resources zake..sio kutegemea ruzuku kila siku kuitia hasara serikali tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…