jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Utajiri wa CCMAGEREZA ni questionable!Hawa watu wameshajikatia tamaa na sasa wameamua semeni mtavyosema ila sisi hatujali.
Kama ni kupoteza,wameshapoteza sasa kwanini wahangaike huku hata muda umeshawatupa mkono?
Hata ile fomu yao kuandikwa ni ya kwenda kugombea uongozi wa vyombo vya dola sio tu ilikuwa lengo ni kutisha,bali ile ilikuwa ni dalili nyingine ya kukiri kukataa kwao tamaa na hivyo hawana tena cha kupoteza(hawawezi poteza mara mbili).
Hata kitendo hiki cha leo ni ishara nyingine ya wao kujikatia tamaa unless huduma hii ya kupandishiwa bendera wameilipa serikalini.
Wangekuwa wanaheshimu wapiga kura,wengeonyesha document kulipia huduma hii au kutoa ufafanuzi lakini kwakuwa hawajali na wamejikatia tamaa,wametuacha tuseme tunavyoweza ila wao hawajali.
Tunaomba document yenye control number kama uthibitisho wa kulipia hii huduma serikalini vinginevyo msilaumu watu kwa wanayoyasema mitandaoni kuanzia huko twitter,hapa JF na kwingineko.
View attachment 1500216
Hazina yetu lazima wameibaka.