Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yao ni kupiga, kujeruhi na kuteka.
Ficha upumbavu wako mkuu!Hiyo kodi inakusanywa na nani? Serikali inaongozwa na nani?hivi hua mnafikiri kwa kichwa au makalio?huwezi kutenga chama serikali na chochote kile ktk nchi..popote duniani
Kwa hio magereza wanawanyonya wafungwaUnalipa magereza, hilo sio tatizo.
Litakuwa tatizo kama watatumiwa bila malipo, i.e serkali kupitia magereza wasilipwe.
Hata wewe unaweza kuwaita kulima au kazi yoyote halafu unalipa.
Ni sawa na kuchukua polisi akulinde unailipa serkali
Kivipi?Kwa hio magereza wanawanyonya wafungwa
KuwatumikishaKivipi?
Umeonaeeeee?Kazi yao ni kupiga, kujeruhi na kuteka.
Ndiyo alicho fundishwa kwenye kambi za green guardFicha upumbavu wako mkuu!
Sisi tunalipa Kodi ili wao wale na kulala bure Sasa kuwatumikisha huo ni unyonyaji.Unalipa magereza, hilo sio tatizo.
Litakuwa tatizo kama watatumiwa bila malipo, i.e serkali kupitia magereza wasilipwe.
Hata wewe unaweza kuwaita kulima au kazi yoyote halafu unalipa.
Ni sawa na kuchukua polisi akulinde unailipa serkali
Then wanapewa teuzi,cv namba moja ni uwezo wako binafsi wa kuwashughulikia wapinzani,kuwabeza, kuwatukana hapa teuzi nje nje.Baada ya kutishia kuwauwa wapinzani akapewa uDC Arusha Kama fadhila.Kazi yao ni kupiga, kujeruhi na kuteka.
Kwani hiyo serikali inaongozwa na pesa za chama gani?Kweni magereza wanakula na askari wanalipwa pesa za serikali inayoongozwa na watu wa chama gani?