F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Una muda gani toka kuendesha gari? Unadhani hatujui kusoma dashboard π‘π‘π‘π‘π‘[emoji848] unaendeshaje gari, temperature inapanda unaiangalia mpaka inachemsha!!!? Au ndio ukisha weka D biashara imeisha, na hapo ndio mbele kwa mbele mpaka gari izime yenyewe ndio unajua ilikua na tatizo!!? Hua nikikuta gari imechemsha nawaangaliaga wahusika jinsi walivyo kabla ya gari yenyewe
Ila hio engine hadi kuchemsha lazma una kilometre laki 3 na 50 au zaidi ikiwa inatunzwa vizuri. Na hii style ya gari ya kilometre 160,000 kugeuzwa 60,000 na madalali wa Yard ndio itazidi kutuchafulia brand yetu pendwa.Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha.
Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, Nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona.
NZ, ZZ, AZ, GR, na engine zingine zote za toyota zenye aluminium blocks ni za kipuuzi mno zikishaanza kuchemsha.
Yaani gari inachemsha matundu ya bolt ya block yanatanuka halafu Bolt za Cylinder head zinaruka thread kwenye Block. Baada ya hapo bolt hazifungi tena. Wajapani wanajua wenyewe walivyodesign blocks zao.
Usije kujidanganya kwamba utaenda kusurface cylinder head au kuchonga thread za Block utumie bolt nyingine. Majanga hayatoisha kwenye hiyo gari.
Mjerumani anatumia block hizo hizo za aluminium kwa sasa tena mpaka kwenye engine za diesel. Lakini zikichemsha hutokutana na hicho kinachotokea kwenye toyota.
Mjerumani alitumia akili, Block Aluminium ila sehemu za kufunga Bolt kaweka cast iron. Miaka 800 hakuna Bolt itaruka thread.
Sijajua kwa gari zingine za kijapani. Ila kwa Toyota hali ndio hiyo.
Kuna ambao gari hazina temperature gauge za analog, wanakua tu na kitaa chekundu kikija kuwaka unakuta gari isha anza kutoa mvuke huko mbele..(kipo reactivate badala ya kua proactive) pia hizi taa kuna gari nyingine wakati wa mchana kitaa kikiwaka hukioni kwakua hakina mwanga wa kutosha mchana jua kali..tofauti na geji za analog unakua unaona mshale wa temperature so any shift in temperature unapata feedback instantly ..kwa gari zenye temperature gauge ya taa gari, unakuta kitaa kilisha ungua hakiwaki na mtu hana hata habari ya bulb(inauzwa 500-1000).[emoji848] unaendeshaje gari, temperature inapanda unaiangalia mpaka inachemsha!!!? Au ndio ukisha weka D biashara imeisha, na hapo ndio mbele kwa mbele mpaka gari izime yenyewe ndio unajua ilikua na tatizo!!? Hua nikikuta gari imechemsha nawaangaliaga wahusika jinsi walivyo kabla ya gari yenyewe
[emoji23] pia hua inapoteza nguvu, unakuta mahesabu ya accelerator na mwendo uliokua unaenda nao yanabadilika kama hush2ki ndio ndoige moja kwa mojaKuna ambao gari hazina temperature gauge za analog, wanakua tu na kitaa chekundu kikija kuwaka unakuta gari isha anza kutoa mvuke huko mbele..(kipo reactivate badala ya kua proactive) pia hizi taa kuna gari nyingine wakati wa mchana kitaa kikiwaka hukioni kwakua hakina mwanga wa kutosha mchana jua kali..tofauti na geji za analog unakua unaona mshale wa temperature so any shift in temperature unapata feedback instantly ..kwa gari zenye temperature gauge ya taa gari, unakuta kitaa kilisha ungua hakiwaki na mtu hana hata habari ya bulb(inauzwa 500-1000).
But ukiwa mzoefu gari ikianza kupandisha joto la injini hata kama gauge haifanyi kazi utajuatu...ping noises.
Naaam ndo hivo.....umemaliza.[emoji23] pia hua inapoteza nguvu, unakuta mahesabu ya accelerator na mwendo uliokua unaenda nao yanabadilika kama hush2ki ndio ndoige moja kwa moja
Nadhani hujanielewa Bro....Si muachane na huo upuuzi unaitwa TOYOTA??
Kwani Benz hamzioni??? Acheni upuuzi.
1G umeifanyaje mkuu... Hii hata siyo Aluminium.Upo sahihi mkuu nitafutie mswaki wa1G vvti
Ndio ukweli wenyewe, hii shida pia inatokea kwenye Nissan, Nilisahau kumention.Kuna vita kubwa sana inakuja hapa.
Asilimia kubwa ya gari zinazotumia hizo engine za aluminium hapo juu hazina temperature gauge zina temperature warning light tu.[emoji848] unaendeshaje gari, temperature inapanda unaiangalia mpaka inachemsha!!!? Au ndio ukisha weka D biashara imeisha, na hapo ndio mbele kwa mbele mpaka gari izime yenyewe ndio unajua ilikua na tatizo!!? Hua nikikuta gari imechemsha nawaangaliaga wahusika jinsi walivyo kabla ya gari yenyewe
Dah nmekumbuka gari ilituchemshia karibu tunamaliza mikumi tukiwa tunakuja Dar, tuliikokoka mpaka vijiji kadhaa mbele, ilipokuja kuzima haikuwaka tena.Kuna Gari kuchemsha na uko porini katikati ya safari ndefu, vipi utapaki mbugani/porini usubirie mpk temperature ishuke?
Duh 1VD engine ya 50m hiyo.... Siyo mchezo.Haaahaaa unaendelea kutengeneza worst cases. Au mbele unamuona mzee duma anatoka mate af ndinga ndo inachemsha....
Anyway kuchemsha hadi kuharibu engine beyond repair mara nyingi ni dereva kuendekeza bad practices..
Kuna engine fln 1VD ya v8 ilichemsha hadi zile plastik kwenye connector za injector pale juu zikayeyuka lkn alikuaga anaendesha rafiki yangu mlevi fln hivi so sikushangaa, yaan engine ukicheki imepoteza hadi shape kisa overheating
Nimeshawahi kuhangaika na IST haina nguvu na kuna muda inachemsha, kwani nilitoboa???[emoji23] pia hua inapoteza nguvu, unakuta mahesabu ya accelerator na mwendo uliokua unaenda nao yanabadilika kama hush2ki ndio ndoige moja kwa moja
Brother gari inaweza kuchemsha hata kama ina Km chache, Vitu kama fuse au relay ni vitu ambavyo vinaweza kuungua muda wowote na cooling fan ikaacha kufanya kazi....Ila hio engine hadi kuchemsha lazma una kilometre laki 3 na 50 au zaidi ikiwa inatunzwa vizuri. Na hii style ya gari ya kilometre 160,000 kugeuzwa 60,000 na madalali wa Yard ndio itazidi kutuchafulia brand yetu pendwa.
Unaanza kuweka 5w30 kwenye li engine la kilometre laki 2 ikianza kusaga vyuma mwisho lawama za ajabu ajabu hazitokwepeka.
Wear and tear hazikwepeki kwenye engine ila wengi tuna abuse sana hizi gari za Toyota sababu hata ukiweka mafuta ya Korie kwenye engine yanakaa. Ikifikia huko badili engine tu acha malalamiko mzee. Unataka wenye maduka Ilala wakale wapi???
Hizi gari zione tu barabarani, Huenda wajerumani wengi gari zao zina maintenance na Running cost ndogo kuliko hizi chuma.tutafute pesa kuna gari na usafiri.
Nimeona youtube land cruiser c300 injini yake ni mkataba kabisa.
Hata shetani anaweza kuomba lifti
View attachment 2489415
Kwangu mi kuna mnara tu, unawakaga blue kwenye cold start kisha baada ya dakika 3 unazima πππ sasa sijajua kama shida ikija itakuwa hauwaki au vipi?Asilimia kubwa ya gari zinazotumia hizo engine za aluminium hapo juu hazina temperature gauge zina temperature warning light tu.
Hasa hizi compact hatchback na sedans mfano IST, Vitz na ndugu zake.
Hiyo taa inakuja gari imeshachemsha, ukizembea kuact imekula kwako.
Halafu kuna gari zingine temperature gauge hata haionekani vizuri mfano Nissan xtrail second gen au Toyota Crown na mark X
ππ Mtoa mada kasema Gari zenye Aluminum Block ndio zinazingua wkt 1G-Fe Ni Cast Iron block Sasa sijui hapo umechanganya madesa au?Upo sahihi mkuu nitafutie mswaki wa1G vvti
Kuna kipindi radiator ilikuwa inavujisha maji yani huku battery langu bovu nikawa siizimi gari kwa quick stops. Hio siku gari iliwasha feni mfululizo hadi feni ikaanza kubadili mlio na kulia kwa kelele sana.Kuna ambao gari hazina temperature gauge za analog, wanakua tu na kitaa chekundu kikija kuwaka unakuta gari isha anza kutoa mvuke huko mbele..(kipo reactivate badala ya kua proactive) pia hizi taa kuna gari nyingine wakati wa mchana kitaa kikiwaka hukioni kwakua hakina mwanga wa kutosha mchana jua kali..tofauti na geji za analog unakua unaona mshale wa temperature so any shift in temperature unapata feedback instantly ..kwa gari zenye temperature gauge ya taa gari, unakuta kitaa kilisha ungua hakiwaki na mtu hana hata habari ya bulb(inauzwa 500-1000).
But ukiwa mzoefu gari ikianza kupandisha joto la injini hata kama gauge haifanyi kazi utajuatu...ping noises.
1G-FE ni engine ngumu sana haina mbambambaππ Mtoa mada kasema Gari zenye Aluminum Block ndio zinazingua wkt 1G-Fe Ni Cast Iron block Sasa sijui hapo umechanganya madesa au?
Nina Gari yenye hio engine 1G-FE tangu 2007 mpk leo na haijawahi kuzingua(zaidi ya Kubadilisha timing belt tu Sababu najua ikizingua kwny hio engine shughuli yake Ni mziki),ukishindwa kui-maintain 1G-Fe labda mkokoteni tu ndo unaweza kuvumilia mateso hayo.
ππ Kabisa mkuu,Ile gari hata coolant Mara ya mwisho kuiwekea ilikua Ni 2014 baada ya hapo ni kitu Cha maji ya Bomba mwanzo mwisho,no overheating,no corrosion.1G-FE ni engine ngumu sana haina mbambamba