Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahah engine za inline six za toyota huwa sio engine za kufa kijinga.๐๐ Kabisa mkuu,Ile gari hata coolant Mara ya mwisho kuiwekea ilikua Ni 2014 baada ya hapo ni kitu Cha maji ya Bomba mwanzo mwisho,no overheating,no corrosion.
Jino 1 tu hata iwe safari ya wapi kitu kishaitika,so far imekua the most reliable car.Nyingine zinakuja na kupita kumuacha mnyama hapo parking ametulia tu.
Durability yake ni kama engine za diesel tu. Ukiiwekea oil ukabadilisha na belt kwa wakati inadunda tu.