Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

Kwa mtu aliyefungua GR engine yoyote mfano kwenye Crown na mark X halafu akafungua na D4 za brevis au RAV 4 anaweza kunote kuanzia kwenye design ya injector nozzles.
Brevis na rav4 hazitumii GR engines Sasa unatakaje zifanane hata zikiwa Ni d4 zote lazima kutakuwa na utofaut sababu Ni engines mbili tofauti
 
[emoji848] unaendeshaje gari, temperature inapanda unaiangalia mpaka inachemsha!!!? Au ndio ukisha weka D biashara imeisha, na hapo ndio mbele kwa mbele mpaka gari izime yenyewe ndio unajua ilikua na tatizo!!? Hua nikikuta gari imechemsha nawaangaliaga wahusika jinsi walivyo kabla ya gari yenyewe
Asilimia 90% gari ikichemsha ni uzembe wa mmiliki nakumbuka 2019 nilikuwa na Carina TI nilifanya service kubwa kabla ya safari ndefu ya mwanza niliandaa gari Kwa miezi 3 nikibadilisha baadhi ya spares kidogokidogo.
Nilifungua Hadi rejeta nikasafisha ingawa halikuwa na shida ila nilifanya hivyo ili kuzuia matatizo njiani. Gari ilikuwa ya kizamani lkn nilikuwa natumia coolant ya bei kubwa kidogo na mpaka nauza Ile gari halikuwahi kusumbua na nilifanya safari ndefu nyingi Sana
 
Brevis na rav4 hazitumii GR engines Sasa unatakaje zifanane hata zikiwa Ni d4 zote lazima kutakuwa na utofaut sababu Ni engines mbili tofauti
1az fse kwenye rav 4, 1jz fse na 2jz fse kwenye Brevis na 4gr fse, 3gr fse na 2gr fse kwenye Crown na mark X zote ni engine za ditect injection.

Zote zina fuel pump mbili, zote zinamwaga mafuta direct kwenye combustion chamber.

D4 ni kifupi cha Inline 4 Direct injection.

Sasa sijajua kwanini GR hawajaziita D4 wakati JZ wanaziita D4.
 
[emoji28]
FB_IMG_1674307892292.jpg


Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
GR engines haziwezi kuwa D4 maana hizo engine siyo inline 4 japo nazo ni engine za direct injection km ilivyo hizo D4.

Toyota kwenye GR engines ambazo ni direct injection walifanya redesign...

Kwa mtu aliyefungua GR engine yoyote mfano kwenye Crown na mark X halafu akafungua na D4 za brevis au RAV 4 anaweza kunote utofauti kuanzia kwenye design ya injector nozzles.

Pia nozzle za GR ni rahisi kuchomoka ukilinganisha na D4 za JZ au AZ. Japo zote ni rahisi kukatika maana Toyota ametumia plastic za bei rahisi kwenye connectors.


Kwa kifupi tu engine nyingi za Direct injection za zamani ni pasua kichwa sababu zinatengeneza sana Carbon kwenye intake valves. Hivyo baada ya muda unaanza kukosa performance.

Hata kwenye mjerumani ni hivyo hivyo.

mfano BMW N45 na N54 hazikufanya vizuri na direct injection ila N55, B48 na B58 zinaperform poa.

Pia kwenye Audi 1st gen. na 2nd gen ya EA888 ni pasua kichwa ila 3rd gen ni Bonge moja la engine.
Aisee
 
Back
Top Bottom