Unajua kutumia internet vizuri kweli,, Hilo jibu Ni Nani kaandika? Unakuta Ni majibu ya kule quora mtu yoyote anaweza jisikia akaandika mawazo yake yanavomtuma
Mfano Niki andika mtandaoni popote kuwa
JituMirabaMinne Ni shoga alafu watu wakaanza bishana kuwa huyo mtu Ni Nani 🤔 mmoja akasema Ni shoga mwngne akasema sio Ni fundi magari tu kawaida Wala Hana hizo Mambo ,, haya wakaingia Google Waka search Hilo jina je unajua watakutana na sehemu nilipoandika kuwa huyo mtu Ni shoga na mmoja atascreenshot atamuonesha? Habari mtandaoni inaandikwa na yoyote majibu ya Google sio reference ..Google inafanya kuku locate na sehemu yenye ulicho search iwe sahihi isiwe sahihi ndo tayari Ni kazi yake kubwa
Hivo kaangalie aliendika hapo Ni Nani na alitoa wapi
Itakuaje Ni 4cyl wakati zipo 4cyl ,6cyl na 8 ambazo zote Ni direct injection