Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

Hahahahahah engine za inline six za toyota huwa sio engine za kufa kijinga.

Durability yake ni kama engine za diesel tu. Ukiiwekea oil ukabadilisha na belt kwa wakati inadunda tu.
 
Hahahahahah engine za inline six za toyota huwa sio engine za kufa kijinga.

Durability yake ni kama engine za diesel tu. Ukiiwekea oil ukabadilisha na belt kwa wakati inadunda tu.
πŸ˜„πŸ˜„ Nakubali mkuu,1G-FE,1JZ/2JZ-GE naona ziko mukide sana,hizi 1JZ/2JZ-FSE sizipendei mambo yake ya 'D4' na story zake.

Huko kwny 1JZ/2JZ-GTE sijataka kupaongelea kabisaa πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜„πŸ˜„ Nakubali mkuu,1G-FE,1JZ/2JZ-GE naona ziko mukide sana,hizi 1JZ/2JZ-FSE sizipendei mambo yake ya 'D4' na story zake.

Huko kwny 1JZ/2JZ-GTE sijataka kupaongelea kabisaa πŸ˜„πŸ˜„
FSE ni jau sema nashangaa mbona 4GR ni FSE nayo ila haisumbui watu. Au sababu haijaandikwa D4
 
Hapo umenena vizuri... Siku nipo na kubakuri changu natoka Dar naenda mtukura bwana, kumbe kichuchu cha radiator cap kimechoka kina shindwa ku withstand pressure ya cooling system, matokeo yake kikawA kina ruhusu maji muda wote yanaenda kwenye reserve tank, sasa nkastuka kusikia feni inazunguka abnormally, maana hiki ki gari kama ujawasha ac feni huisikii kelele zake pindi inapuzunguka kupoza radiator for heat exchange... Sasa Nilivosikia zile noise za feni continuously, nikazima ac, mmh bado feni ipo palepale inapiga kelele, what i did ikaweka gari pembeni immediately, kufungua bonnet, nakuta maji yanamwagika kupitia reserve tank, so maana yake kama nisingekua mtu wa mtu wa ku observe vitu basi hali ingekua tete
 
FSE ni jau sema nashangaa mbona 4GR ni FSE nayo ila haisumbui watu. Au sababu haijaandikwa D4
Hahah mzee umeulizwa swali la msingi aisee, na Mimi sijasikia 4GR zikizingua.

BTW majuzi nilikutana na Crown 4gr-fse jamaa ameiwekea supercharger kit ya Arma,kitu inatoa HP 310 nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiii.
 
Hahah mzee umeulizwa swali la msingi aisee, na Mimi sijasikia 4GR zikizingua.

BTW majuzi nilikutana na Crown 4gr-fse jamaa ameiwekea supercharger kit ya Arma,kitu unatoa HP 310 nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiii.
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Oya huo unyama nani anauweka mjini 🀣🀣🀣 hio tamu sana babu. Uzuri akukatie na kamba
 
Kwangu mi kuna mnara tu, unawakaga blue kwenye cold start kisha baada ya dakika 3 unazima πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa sijajua kama shida ikija itakuwa hauwaki au vipi?
Gari ikishachemsha itawaka taa kama hiyo nyekundu, ukidelay kuchukua hatua imeisha hiyo... hutokaa uone gauge ikipanda sababu hawajaweka gauge.

Ila kama nilivyosema mwanzo ukiijua rdiator fan ya gari yako siyo rahisi gari yako kuchemsha labda fan yenyewe ndio iwe na shida.
 
Ukiwa na mpunga unatia tu Radiator yenye cap za aluminium japo bei mkasi.
 
Hahahahahah engine za inline six za toyota huwa sio engine za kufa kijinga.

Durability yake ni kama engine za diesel tu. Ukiiwekea oil ukabadilisha na belt kwa wakati inadunda tu.
Hivi toyota bado anazalisha inline 6?

BMW naona hiyo ndio identity yake.
 
Nitafutie mswaki jamaa acha maelezo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
1G umeifanyaje mkuu... Hii hata siyo Aluminium.
Nitafutie mswaki hii haina compression kabisa baada ya kuchemsha nshabadili c. Head mbili tatizo bado mafundi wanashauri nibadili "Piston rings" lakini naona gari haitoi moshi mweupe rings zinahusikaje? Gari ina miss isiyoisha mebadili plugs, coils na nozzles bado ipo tu. Naona niiweke pembeni nifunge nyingine
 
FSE ni jau sema nashangaa mbona 4GR ni FSE nayo ila haisumbui watu. Au sababu haijaandikwa D4

GR engines haziwezi kuwa D4 maana hizo engine siyo inline 4 japo nazo ni engine za direct injection km ilivyo hizo D4.

Toyota kwenye GR engines ambazo ni direct injection walifanya redesign...

Kwa mtu aliyefungua GR engine yoyote mfano kwenye Crown na mark X halafu akafungua na D4 za brevis au RAV 4 anaweza kunote utofauti kuanzia kwenye design ya injector nozzles.

Pia nozzle za GR ni rahisi kuchomoka ukilinganisha na D4 za JZ au AZ. Japo zote ni rahisi kukatika maana Toyota ametumia plastic za bei rahisi kwenye connectors.

Kwa kifupi tu engine nyingi za Direct injection za zamani ni pasua kichwa sababu zinatengeneza sana Carbon kwenye intake valves. Hivyo baada ya muda unaanza kukosa performance.

Hata kwenye mjerumani ni hivyo hivyo.

mfano BMW N45 na N54 hazikufanya vizuri na direct injection ila N55, B48 na B58 zinaperform poa.

Pia kwenye Audi 1st gen. na 2nd gen ya EA888 ni pasua kichwa ila 3rd gen ni Bonge moja la engine.
 
Kwahio D4 za kisasa sio pasua kichwa kama 3ZR ambaye ni successor wa 1AZ!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…