Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

Kwa mtu aliyefungua GR engine yoyote mfano kwenye Crown na mark X halafu akafungua na D4 za brevis au RAV 4 anaweza kunote kuanzia kwenye design ya injector nozzles.
Brevis na rav4 hazitumii GR engines Sasa unatakaje zifanane hata zikiwa Ni d4 zote lazima kutakuwa na utofaut sababu Ni engines mbili tofauti
 
Asilimia 90% gari ikichemsha ni uzembe wa mmiliki nakumbuka 2019 nilikuwa na Carina TI nilifanya service kubwa kabla ya safari ndefu ya mwanza niliandaa gari Kwa miezi 3 nikibadilisha baadhi ya spares kidogokidogo.
Nilifungua Hadi rejeta nikasafisha ingawa halikuwa na shida ila nilifanya hivyo ili kuzuia matatizo njiani. Gari ilikuwa ya kizamani lkn nilikuwa natumia coolant ya bei kubwa kidogo na mpaka nauza Ile gari halikuwahi kusumbua na nilifanya safari ndefu nyingi Sana
 
Brevis na rav4 hazitumii GR engines Sasa unatakaje zifanane hata zikiwa Ni d4 zote lazima kutakuwa na utofaut sababu Ni engines mbili tofauti
1az fse kwenye rav 4, 1jz fse na 2jz fse kwenye Brevis na 4gr fse, 3gr fse na 2gr fse kwenye Crown na mark X zote ni engine za ditect injection.

Zote zina fuel pump mbili, zote zinamwaga mafuta direct kwenye combustion chamber.

D4 ni kifupi cha Inline 4 Direct injection.

Sasa sijajua kwanini GR hawajaziita D4 wakati JZ wanaziita D4.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…