Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

Kwangu mi kuna mnara tu, unawakaga blue kwenye cold start kisha baada ya dakika 3 unazima [emoji3][emoji3][emoji3] sasa sijajua kama shida ikija itakuwa hauwaki au vipi?
Ni rahisi kujua kama taa yako ya overheating inafanya kazi..pale ukiweka tu switch on kabla gari haijawaka cha kwanza kabisa gari huwa ina ji self diagnose yenye na kukagua je system zote zipo sawa before gari kuwaka... Hapa utaona taa (warning lights) za dashboard zote zinawaka then baadhi zita omdoka..ila kamq kuna fault zitabaki, pia utasikia relays ziki click kuashiria zipo ok..sasa hapa kwenye kuwasha taa huwa ndo sehemu ya ku-observe je warning lights zako zote zinafanya kazi au lah.. including warning light ya high temperature..ambayo inakua na rangi nyekundu, ukiona haiwaki basi bulb yake itakua imeungua..so una replace maisha yanaendelea..
 
Kuhusu fraud za kilometa kwenye yard za kibongo, watu wanapoenda nunua gari toka yard wajitahidi kuomba auction documents zinahusiana na gari usika toka lilikotoka. Ile itakupa details nyingi including auction rating ya gari,.(NB auction rating below 3 kimbia)
 
Unajua kutumia internet vizuri kweli,, Hilo jibu Ni Nani kaandika? Unakuta Ni majibu ya kule quora mtu yoyote anaweza jisikia akaandika mawazo yake yanavomtuma

Mfano Niki andika mtandaoni popote kuwa JituMirabaMinne Ni shoga alafu watu wakaanza bishana kuwa huyo mtu Ni Nani 🤔 mmoja akasema Ni shoga mwngne akasema sio Ni fundi magari tu kawaida Wala Hana hizo Mambo ,, haya wakaingia Google Waka search Hilo jina je unajua watakutana na sehemu nilipoandika kuwa huyo mtu Ni shoga na mmoja atascreenshot atamuonesha? Habari mtandaoni inaandikwa na yoyote majibu ya Google sio reference ..Google inafanya kuku locate na sehemu yenye ulicho search iwe sahihi isiwe sahihi ndo tayari Ni kazi yake kubwa

Hivo kaangalie aliendika hapo Ni Nani na alitoa wapi

Itakuaje Ni 4cyl wakati zipo 4cyl ,6cyl na 8 ambazo zote Ni direct injection
 
Anyway sijawahi jua hivo....

Ndio maana mjadala mwanzo ulikuwa mbona GR engines haziandikwi D4? wakati ni direct injection?
 
Cylinder head, top cover, block, sump na vyote vilivyoko ndani na hayo niliyotaja.

Au engine bila manifolds, alternator, starter, water pump, ac compressor, power steering,
 
Nimeipenda hii. Maana inakaribiana na piki² SANLG na SANYA nazo ni 4 stroke.
Engine zote kwa Sasa Ni 4stroke , bike zote hizo za kichina hamna iliowahi kuwa 2stroke,

2stroke imebaki kwenye pikipiki baskeliiii ,, zile baskeli zenye zinafungwa engine ndogo 50cc to 80cc zile Ni 2stroke, na Yamaha Wana dirtbike moja cc 400 nadhani Ni 2stroke sijajua Kama inatengenezwa tena
 
Thread [emoji777]

Tred[emoji3581]
 
Mkuu kuhusu piki² kaa pembeni kabisaaa, ongelea tu magari.
Piki² za 2stroke zipo ngingi tena ni mpya hata ukitaka za mwaka huu 2023.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…