Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

Una mawenge Sana,, utoto unakusumbua hata puru yako yaweza kuwa 2stroke rudia Soma line mbili za mwsho
Ulichoandika: "2stroke zipo tu kwenye baiki na kwa sasa hujui kama za yamaha kama zinatengenezwa"
KAA PEMBENI. 2stroke zipo na zinatengenezwa.
D4, haina maana uliyoitoa ya " Direct-4 stroke"
Niliposomea ufundi wa magar ni KIST, Mwalimu ni HANSS- Mjerumani na KIM- Mkorea. Boya wewe.
 
Ulichoandika: "2stroke zipo tu kwenye baiki na kwa sasa hujui kama za yamaha kama zinatengenezwa"
KAA PEMBENI. 2stroke zipo na zinatengenezwa.
D4, haina maana uliyoitoa ya " Direct-4 stroke"
Niliposomea ufundi wa magar ni KIST, Mwalimu ni HANSS- Mjerumani na KIM- Mkorea. Boya wewe.
Una wenge dogo inaonekana hushughulikiwi vizuri


Kila technology itaitwa jina lake na manufacture wake alivoamua

Mfumo wa ku inject mafuta direct kwenye combustion chamber Toyota anauita D4 kwa petrol na d4D kwa diesel engines ,Mitsubishi anaita GDI gasoline direct injection, benzi Wana jina lao na kampuni kibao Wana jina lao ..Sasa je waeza nitajia engine ya Toyota yenye 2stroke? 😁 Ambayo Ni direct injection 😁 hakuna na hawaundi Sasa iweje ukatae D4 sio direct four stroke 😁 ? Je Kama Mitsubishi anaunda 2stroke zenye direct injection ndo jina la Toyota libadilike🤔


Bado nilikwambia Soma line mbili za mwsho utaelewa ,,
 
Kuna ambao gari hazina temperature gauge za analog, wanakua tu na kitaa chekundu kikija kuwaka unakuta gari isha anza kutoa mvuke huko mbele..(kipo reactivate badala ya kua proactive) pia hizi taa kuna gari nyingine wakati wa mchana kitaa kikiwaka hukioni kwakua hakina mwanga wa kutosha mchana jua kali..tofauti na geji za analog unakua unaona mshale wa temperature so any shift in temperature unapata feedback instantly ..kwa gari zenye temperature gauge ya taa gari, unakuta kitaa kilisha ungua hakiwaki na mtu hana hata habari ya bulb(inauzwa 500-1000).

But ukiwa mzoefu gari ikianza kupandisha joto la injini hata kama gauge haifanyi kazi utajuatu...ping noises.
hio taa ikiungua utajua tu maana ni lazima iwake wakati unawasha gari nahisi muda mwingine ni uzembe wa mtu kufuatilia
 
Tutafute pesa kuna gari na usafiri.

Nimeona youtube land cruiser c300 injini yake ni mkataba kabisa.
Hata shetani anaweza kuomba lifti
View attachment 2489415
Kianzio milioni 236. Then utazungumzia kodi na TRA mlipane kwa utaratibu gani maana nasikia wa gari hizi wanalipa kwa utaratibu maalumu tofauti na wa IST.

Halafu inakuja Insurance hapo ujazie kwa juu kidogo.

Mmmmmmhmn hela ndio maajabu yenyewe sasa.
 
Kuna Gari kuchemsha na uko porini katikati ya safari ndefu, vipi utapaki mbugani/porini usubirie mpk temperature ishuke?
Easy ukiona mshale wa temp unapanda zima gari pumzika kwa dk 20 mpaka 30 then washa anza kwenda nayo mdogo mdogo huku unaangalia temp gauge
 
Sisi wa lamborgin ambapo bei ya taili moja unapata hizo gari zenu kumi tunakoment wapi?
 
Back
Top Bottom