Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Huyo mtu anasifia gari ambayo hawezi hata kumiliki miaka 20 ijayo.

Bora wale wanaomiliki german cars za miaka 20 iliopita wana enjoy kidogo.

Njoo kwa hao Lexus fan boys ambao wanaendesha Sienta au Raum ya 2003 huku wanaiponda C class ya 2003.

Kwenye stability hawapo, handling ndo hakuna kabisa, comfort wanaishia isikia kwingine.
 
Bush ya Crown ukiwa na elfu 20 unafunga miguu yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa hizo BMW sijui Benz unazoziongelea hiyo hata Bush moja hupati..
 
Sawa. Hakuna neno.

Twende pound for pound.

Tufanye, Mr. Rrondo anamiliki E Class ya 2008. Mbadala wake ni upi kwenye hiyo Lexus au Toyota ambayo wabongo wanamiliki wengi?
 
Toyota ukiwa na laki moja unaipigisha service ya kutisha sana..
 
Kuna powerful engines zinakuja stock tena made by hand na hiko ki-engine kako kinatengenezwa na series of robots.

Hiko ki-engine kako hakina u-special wowote, hp na torque kimepitwa mbali sana.
Mkuu tutajie basi hio engine ya kizungu ilio kwenye same class na 2jz na imeipita torque na hp
 
Natamani somo la Economics liwe la lazima kwa vijana wetu mavyuoni ...ili wakutane na vitu mbali mbali ikiwemo

Maslow's Hierarchy of Needs... wajue kwa nini mtu ananunua Vits tena kwa kuipenda kabisa​

Huyo ananunua vitz sababu uchumi wake mdogo na hawezi kumudu gharama za uendeshaji wa gari yenye engine kubwa i.e anataka aweke mafuta ya 5000 etc....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…