Umeshawahi ishi ujerumani kuongea magari ya kijerumani model machacheMjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
Ipi mkuu mbona unapuyanga puyanga ππCrown ambazo mnaendesha wabongo..
Wanakwambia hii gari inanisaidia sana kwenye foleni napenya penya na parking mjini hainisumbui πππHuyo ananunua vitz sababu uchumi wake mdogo na hawezi kumudu gharama za uendeshaji wa gari yenye engine kubwa i.e anataka aweke mafuta ya 5000 etc....
Kwa Duniani hii kinashindikani kipi?Umeshawahi ishi ujerumani kuongea magari ya kijerumani model machache
Sasa unasemaje Kuna model chacheKwa Duniani hii kinashindikani kipi?
Ukikutana na car collectors wanaweza nunua vintage Bentley Mulsane kwa bei mara 5 ya bei ya mulsane ya sasa.Ona mambo ya mjapna.. gari ya 1990 ila unanunua BMW X5 mpya mbili na chenji ya bima inabaki na wese la kuzicheusa hadi kigoma kwenda na kurudi.. [emoji3][emoji3].. wanitagutie BMW ya 1990 yenye hii beiView attachment 1696640
Kwa sasa nipo dar es salaam mkuu. Japo sio mkaazi wa kudumu hapa, nashangaa shangaa magorofaSawa mkuu kwaio upo mkoa upi...
Ila vipi mziki Skyline GTR upoje ? nafatilia fatilia inaoneka ni chombo moja hadi leo wazungu wanaitamaniUkikutana na car collectors wanaweza nunua vintage Bentley Mulsane kwa bei mara 5 ya bei ya mulsane ya sasa.
Kiuhalisia hiyo gari hapo ukinunua ya mwaka 2020 bei ni ndogo ya hiyo hapo. Hiyo ishafika level za kuwa vintage bei inapanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutakuzaba vibao acha kutufokea
Kwani wabongo mnamiliki Crown latest?? Au latest kwako ni ya miaka kumi iliyopitaIpi mkuu mbona unapuyanga puyanga ππ
Si uweke unazo zijua Mkuu, nani kakutaza?Sasa unasemaje Kuna model chache
πππππ.. Umeamua kujipa majibu mwenyewe au sio ?Kwani wabongo mnamiliki Crown latest?? Au latest kwako ni ya miaka kumi iliyopita
Babuuuuuh nilitaka nikuite hivooo, ooooh kumbe upo ndani ya uzi lol.Mnyama wa ukweli sanaView attachment 1696642
Hizi ndio ndinga sasa
Sijasema kuuza.Kuna makampuni mengi yanauza magari 0km hapa Tanzania sidhani yapo kufanya biashara na serikali tu.
Zipo hadi za buku na mia tano. πππSpare ya gari inauzwa buku tano...
Sijawahi ona ππ
Ahahaaaaa, sasa hizo 0Km wanawauzia warundi?Sijasema kuuza.
Watanzania wangapi wanamiliki Toyota Brand New ukiacha Serikali?
Hata hao wakurugenzi wanaoendeshwa na VX za serikali wana escudo zao za 2008 zimepaki nyumbani.
Toyota anauza gari 10M kwa mwaka.Wazungu wenyewe wanakimbilia TOYOTA, na ndio wengi kuliko hata sisi weusi. kwanini hawanunui magari yao?