Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Jamani msijisahahu hali za vipato vya watanzania walio wengi, sio rafiki. Mtu hata akinunua ya 2000 mwingine kwake ni mafanikio makubwa sanaMtandaoni unaambiwa gari new model.
Wabongo hatujui marketing kabisa.
Au wanawauzia wasukuma wa wapi sijui.
VW kanunua Hisa kampuni nyingi za magari Ulaya itakuwa kaisha walambaMwingereza hana kitu Sasa hivi Land Rover kitambo tuu imechukuliwa na TATA ya India, RR Imechukuliwa na BMW sasa sijui kuna nini huko Uingereza labda Bentley na sina uhakika kama ajauza shea yake Germany.
Ni kwamba hawezi ku-mantain hizo bmw interms of spares, ufundi.Unazo waona nazo wabongo zipo katika level ya uchumi wao. Kilicho juu ya uchumi wao hawakiwezi. Kabla ya kununua gari lazima uchuje vitu vingi. Kuna Vitz zina bei sawa na BMW wanazomiliki machalii hapa bongo.. ila mtu anachukua zake tu Vitz anatulia, sio kwamba asingeweza nunua BMW ila mahesabu yake yamekataa.. kuiga kunya kwa tembo wengine hawataki
Tutawapa mtaliano basi, muingereza ushaleta zengwe au tuwape USA ( KWA BIDEN ) ?Mwingereza hana kitu Sasa hivi Land Rover kitambo tuu imechukuliwa na TATA ya India, RR Imechukuliwa na BMW sasa sijui kuna nini huko Uingereza labda Bentley na sina uhakika kama ajauza shea yake Germany.
Vitz ni other cars ya TOYOTANi kwamba hawezi ku-mantain hizo bmw interms of spares, ufundi.
Ride quality ya vitz ni nzuri kuliko hizo bmw? Handling? Stability?
Tuacheni sizitaki mbivu hizi.
Anaenunua vitz angekuwa na kipato kizuri hawezi nunua hiyo gari kamwe.
Mwisho wa siku ni uchumi, na kuna watu wana pesa chafu kuliko wemye BMW na kwenye parking zao hukuti hizo BMW. Swala kubwa hapa ni uchumi na selection ya mtu. Mfano mie hapa malaa paap na mpunga mrefu kwenye parking yangu utakuna Lexus Ls 500h, utakuna Lexus Lx, utakuna Nissan Y62, Nissan Armada, na utakuta nissan fuga, na utakua Crown majesta hybrid na utakuta Astornmartin pamoja na bentley.. ila shida shekeli mkuuNi kwamba hawezi ku-mantain hizo bmw interms of spares, ufundi.
Ride quality ya vitz ni nzuri kuliko hizo bmw? Handling? Stability?
Tuacheni sizitaki mbivu hizi.
Anaenunua vitz angekuwa na kipato kizuri hawezi nunua hiyo gari kamwe.
Toyota ana dharau sana.Vitz ni other cars ya TOYOTA
Na 400, 430, 460 na 600.Zina category:
LS 500
LS 500h
LS 500 F Sport
Nairobi hadi kuna dealership ya Volvo!!Kuna kipindi cha magari channel ya KTN ya hapo Kenya jamaa hua wana review gari latest za 2020-2021 tu na bei zake sio mchezo jamaa wa dealership wakihojiwa wanasema gari zinatoka fresh kabisa mpk unajiuliza sisi hali ni ngumu au ni tra au ni nini?
Inshort Kenya kwenye barabara zao kuna magari ya miaka 2015 kuja 2020 mengi saaana kuliko bongo.
Kwako CMC,Toyota etc
Ila usiseme kwamba hizi Toyota zinazoendeshwa na 90% ya wabongo ni bora kuliko bmw au benz.Mwisho wa siku ni uchumi, na kuna watu wana pesa chafu kuliko wemye BMW na kwenye parking zao hukuti hizo BMW. Swala kubwa hapa ni uchumi na selection ya mtu. Mfano mie hapa malaa paap na mpunga mrefu kwenye parking yangu utakuna Lexus Ls 500h, utakuna Lexus Lx, utakuna Nissan Y62, Nissan Armada, na utakuta nissan fuga, na utakua Crown majesta hybrid na utakuta Astornmartin pamoja na bentley.. ila shida shekeli mkuu
Porsche wana dealership yao huko pia.Na 400, 430, 460 na 600.
Nairobi hadi kuna dealership ya Volvo!!
VW nilisikia wana assembly plant KenyaPorsche wana dealership yao huko pia.
Zipo LS za miaka ya nyuma.View attachment 1696580
Huyu mnyama ni vile pesa hakuna tu ila kama ipo ni kumuweka road tu! Unakuwa na chombo mji mzima uko mwenyewe tu πππ sijawahi ona hii gari road yeyote hapa Bongo!
Ubora wa gari unalinganishwa na bei ya gari pia na mwaka. Kuna Toyota zilizo bora na zisizo bora hivyo hivyo ina apply hata na kwa BMW na BenzIla usiseme kwamba hizi Toyota zinazoendeshwa na 90% ya wabongo ni bora kuliko bmw au benz.
Za mika ya nyuma kuna raha mtu hutoiota kama hizi chiniZipo LS za miaka ya nyuma.
Na spare ni mingi tena genuine, kuna mtaa nilienda kutafuta taa ya VW Golf location ya duka ni kama kwa mtu unaingia lakin mali iliyoko ndani ni mingi hakuna bidhaa yeyote na VW ulizie uwambiwe hakunaKuna kipindi cha magari channel ya KTN ya hapo Kenya jamaa hua wana review gari latest za 2020-2021 tu na bei zake sio mchezo jamaa wa dealership wakihojiwa wanasema gari zinatoka fresh kabisa mpk unajiuliza sisi hali ni ngumu au ni tra au ni nini?
Inshort Kenya kwenye barabara zao kuna magari ya miaka 2015 kuja 2020 mengi saaana kuliko bongo.
Kwako CMC,Toyota etc
Hiyo ya 600 naona itakuwa kiboko..Na 400, 430, 460 na 600.
Nairobi hadi kuna dealership ya Volvo!!
Mbadala wake ni Lexus ES350 mkuu ila kwa bongo ni adimu sana kuiona sababu beforward bei mkasi π! Hivyo kibongo huyo atapambana na CrownSawa. Hakuna neno.
Twende pound for pound.
Tufanye, Mr. Rrondo anamiliki E Class ya 2008. Mbadala wake ni upi kwenye hiyo Lexus au Toyota ambayo wabongo wanamiliki wengi?
Hio 600 ndio top spec!!! Humo kuna choo cha kukaa πππ na unachambwa automatikare (jokingly)Hiyo ya 600 naona itakuwa kiboko..
Hahaha hio corrolla labda!Toyota ukiwa na laki moja unaipigisha service ya kutisha sana..
Mie nimepa Toyota centuty la 1990, anasema bongo hamna. Ndio namuambia toyota wana mchine haswaa ambazo ni gharama kiasi kwamba huwezi zikuta humu na sio kwamba watu hatuzitaki. Ila pesa baba. Na ukimuona mtu na Crown ya 18 million au 22. Sio kwamba hawezi nunua BMW na kuitunza.Mbadala wake ni Lexus ES350 mkuu ila kwa bongo ni adimu sana kuiona sababu beforward bei mkasi π!