Mkuu hio list ulioiweka ni user generated content sababu imelingalisha magari yaliopo kwenye different class of cars huwezi weka Toyota 4 Runner, Toyota Rav 4, Subaru Forester na Outback (Legacy) kwenye kundi moja...Soko, demand ndio imahamua
Hahahah labda tumuulize vyema, maana hamna Crown iliotoka Japan ambayo bush zake ni elfu 20?πππUnaongelea Crown ipi kwanza ? πππ
Kwenye gari zingine ukiwemo ndani, hata haja huwezi isikia.. iwe haja ndogo au kubwa. Ila kuna zingine mwendo wake lazima ushtue tumbo.. tuHio 600 ndio top spec!!! Humo kuna choo cha kukaa πππ na unachambwa automatikare (jokingly)
Century gari kubwa sana ku compare na hio aliosema.Mie nimepa Toyota centuty la 1990, anasema bongo hamna. Ndio namuambia toyota wana mchine haswaa ambazo ni gharama kiasi kwamba huwezi zikuta humu na sio kwamba watu hatuzitaki. Ila pesa baba. Na ukimuona mtu na Crown ya 18 million au 22. Sio kwamba hawezi nunua BMW na kuitunza.
Haya ni madharau ya wa german wa jf.. ππππ..Hahahah labda tumuulize vyema, maana hamna Crown iliotoka Japan ambayo bush zake ni elfu 20?πππ
Nimemuone sana eeeh πππ.. ngoja nimuangalize size yake kuna corola flani hivi ni shidaaaCentury gari kubwa sana ku compare na hio aliosema.
Hamna Crown ya namna hio mzee labda ya mwaka 1979 huko πππCrown ambazo mnaendesha wabongo..
Gari ya kuendana na hio aliotaja ni Crown tu! Zinaweza kuwa League moja.Nimemuone sana eeeh πππ.. ngoja nimuangalize size yake kuna corola flani hivi ni shidaaa
Vipi hii haoa ?Century gari kubwa sana ku compare na hio aliosema.
Ni kweli kaka ndio maana kila mtu anajikuna anapofika. Hizi za humu ni story asilimia 80% ya wabongo wanamiliki vyuma chakavu toka kwa mjapani.Jamani msijisahahu hali za vipato vya watanzania walio wengi, sio rafiki. Mtu hata akinunua ya 2000 mwingine kwake ni mafanikio makubwa sana
technological wise hii gari iko nyuma compared na makes tha 2008! Alitaka mbadala nao si mwengine ni Crown ya 2008 ile ama Lexus ES 350 ya 2008.
Na bora ya chuma chakavu cha mjapan kuliko chuma chakavu cha mjerumani.. kinaweza kukuua kabla ya wakati wakoNi kweli kaka ndio maana kila mtu anajikuna anapofika. Hizi za humu ni story asilimia 80% ya wabongo wanamiliki vyuma chakavu toka kwa mjapani.
Hahahahahah Mjapan anaroho ya paka. Imagine gari unanunua mkono wa 3 na still inapiga kazi.Na bora ya chuma chakavu cha mjapan kuliko chuma chakavu cha mjerumani.. kinaweza kukuua kabla ya wakati wako
Mkuu hio list ulioiweka ni user generated content sababu imelingalisha magari yaliopo kwenye different class of cars huwezi weka Toyota 4 Runner, Toyota Rav 4, Subaru Forester na Outback (Legacy) kwenye kundi moja...
Mjapana akili kubwa ile, sema hapendi show offHahahahahah Mjapan anaroho ya paka. Imagine gari unanunua mkono wa 3 na still inapiga kazi.
Hilo linaonesha ingizo jipya kabisa.Infiniti Emerg-E
View attachment 1696630
Vit kama hivi vya Mjapani huwa havisemwi na hauwezi kuvikuta bongo kwa sababu ya mkasi, nadhani hawamjui pia.
Ndio ndioHilo linaonesha ingizo jipya kabisa.
Na hiyo ni corrolla ya zamani sanaz sio hizi za sasa hiviHahaha hio corrolla labda!
Japo watapinga vikali ila ndio ukweli π!Dunia hii ni sehemu ipi TOYOTA hakubaliki????? 25 Best-Selling Cars, Trucks, and SUVs of 2020 Kutoka makampuni makubwa yote ya magari katika gari 25 zilizoshindanishwa na kuingia top 25 TOTOTA kaingiza gari sita na Japan kwa ujumla π―π΅ kaingiza gari 14. karibia 50+% ya soko la magari kaliteka Mjapan na Mjerumani π©πͺ sijamuona hata kwa gari moja.
1. Ford F-Series (787,422 units sold)
2. Chevrolet Silverado (586,675 units sold)
3. Ram Pickup (563,676 units sold)
4. Toyota RAV4 (430,387 units sold) π―π΅
5. Honda CR-V (333,502 units sold)π―π΅
6. Toyota Camry (294,348 units sold)π―π΅
7. Chevrolet Equinox (270,994 units sold)
8. Honda Civic (261,225 units sold)π―π΅
9. GMC Sierra (253,016 units sold)
10. Toyota Tacoma (238,806 units sold)π―π΅
11. Toyota Corolla (237,178 units sold)π―π΅
12. Nissan Rogue (227,935 units sold)π―π΅
13. Ford Explorer (226,217 units sold)
14. Toyota Highlander (212,276 units sold)π―π΅
15. Jeep Grand Cherokee (209,786 units sold)
16. Jeep Wrangler (201,311 units sold)
17. Honda Accord (199,458 units sold)π―π΅
18. Ford Escape (178,496 units sold)
19. Subaru Forester (176,996 units sold)π―π΅
20. Subaru Outback (153,294 units sold)π―π΅
21. Mazda CX-5 (146,420 units sold)π―π΅
22. Nissan Altima (137,988 units sold)π―π΅
23. Jeep Cherokee (135,855 units sold)
24. Ford Transit (131,556 units sold)
25. Toyota 4Runner (129,052 units sold)π―π΅
Tuache kumlinganisha Mjapani na vitu vya kijinga, Wabongo wenzangu mpo sawa kabisa TOYOTA ndio ndugu yetu wa damu kabisaaa
View attachment 1696661