Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Unaharibu wacha wajazane, tumletee Jerry's spare vichwa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kwa standard za kumiliki gari.

Kifaa kikiwa kibovu kinatakiwa kutolewa kiwekwe kipya.

Hata hizo toyota ukipeleka kwa dealer anachomoa kifaa anaweka kipya.

Ila hizo garage za maporini ndo mnafunga kwa mpira au kuchomelea.
 
Unaharibu wacha wajazane, tumletee Jerry's spare vichwa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Watu hawaelewi[emoji23], BMWs na Benz kwenye engine bay kuna parts zimekua designed to fail baada ya muda fulani hata kama unalitunza vipi. Zikianza fail ni moja baada ya nyingine mpaka gari inashinda garage kuliko home, bado matatizo ya umeme kwa kuwa na sensor nyingi kuliko maelezo . Ulaya, USA,South Afrika gari ikiisha warrant tu anaicha na kuchukua nyingine au anahamia Toyota, Kia, Hyundai. Mtanzania ana nunua ugonjwa wa moyo na wallet BMW, Benz ya miaka 15 kweli.
 
Sub standard cars.

Gari za Toyota zinazoenda UK na US ni bora kuliko mnazozisifia zenu huku.

US, UK huwezi kuta hizo crown, brevis zenu.

Gari ikifika 150kph kinaanza kuswing, moyo unaanza kwenda mbio.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa hapo hujaelewa nini mkuu ? Unazo ita sub standard ni kwa soko la watu wenye uchumi wa chini. Wameletewa kutokana na hali yao ya kiuchumi. Usiige kunya kwa tembo
 
Boring cars ni aina gani hizo mkuu ?
Toyota zote ambazo huzikuti kwenye website ya kampuni.

Manake hata hawaumizi kichwa kuzitengeneza.

Gari ya kueleweka lazima RnD ya maana itumike. Miaka ya kutosha ya kutengeneza gari na kuijaribu.

Hata ukiiangalia unajisemea kabisa hii gari kweli imetengenezwa kama ile Nissan GTR Nismo. Pale mjapani amefanya kazi na ikaonekana.
 
Amazon na website kama ya Toyota hazilingani ki maudhui. Usitake fananisha hivyo vitu kwa wataalamu wa techonology za web na design watakucheka [emoji3][emoji846][emoji3][emoji846]
Website za magari ni show room.

Huwezi ficha gari uani usiiweke showroom.

Hawaziweki kwasababu hata wenyewe wanajua wametengeneza takataka ndo maana wanaona aibu kuziweka huko.

Hakuna website inashindwa uweka models zote mzee.
 
Poa basi ngoja nichakate nichukue Nissan GTR Nismo.. ili na sie wajapan utuone wa maana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu mie sina gari zote tajwa hapo juu.. mie ni fundi garage tu [emoji3][emoji3][emoji3] tena nyoka nafundishwa kazi
Basi utulie sasa sio kujazana ujinga.

Mjerumani, Muingereza, Mtaliano wanaumba magari. Wajapani wanatengeneza magari.
 
Sub standard cars.

Gari za Toyota zinazoenda UK na US ni bora kuliko mnazozisifia zenu huku.

US, UK huwezi kuta hizo crown, brevis zenu.

Gari ikifika 150kph kinaanza kuswing, moyo unaanza kwenda mbio.
Toyota wanatengeneza models tofauti kwa masoko tofauti ndio maana kuna salon zipo Japan lakini haziko UK wala USA,pia kuna trucks zipo USA lakini haziko nchi nyingine. Hii sio kwa Toyota hata car makers wengine pia wanafanya kama Toyota.
 
Gari za kishamba ndo zipi hizo..za kampuni ya nyumbu
 
Website za magari ni show room.

Huwezi ficha gari uani usiiweke showroom.

Hawaziweki kwasababu hata wenyewe wanajua wametengeneza takataka ndo maana wanaona aibu kuziweka huko.

Hakuna website inashindwa uweka models zote mzee.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ati taka taka.. kaangalia Toyota Century kama ipo ? Kwenye swala ku manage content za website kila company ina policy zake.
 
Basi utulie sasa sio kujazana ujinga.

Mjerumani, Muingereza, Mtaliano wanaumba magari. Wajapani wanatengeneza magari.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. ila radha ya gari nazionja ndio maana nakuambia Toyota ni chuma cha mjapan kisicho na wenge
 
Toyota wanatengeneza models tofauti kwa masoko tofauti ndio maana kuna salon zipo Japan lakini haziko UK wala USA,pia kuna trucks zipo USA lakini haziko nchi nyingine. Hii sio kwa Toyota hata car makers wengine pia wanafanya kama Toyota.
Kasoro German company BMW/ AUDI/ BENZ hawana diversity kulingana na geographical needs. Ukinunua BMW ya German ndio hiyo tunalazimisha kwenye hizi hizi bara bara zetu za Ubungo external. Gari mpaka inaisha haijawahi gonga 260km/ h kwenye dashboard
 
Tuletee ma Bentley Mkuu, kizuri umekubali TOYOTA ana gari standard za kupambana na BMW/ AUDI
Tacoma, Tundra, Sequoia, Avalon n.k ni brand za mbele.

Gari imetulia imetenengenezwa unaona kabisa watu wamekaa wakatengeneza gari.

Njoo na hivyo vi passo vyenu.
 
Tacoma, Tundra, Sequoia, Avalon n.k ni brand za mbele.

Gari imetulia imetenengenezwa unaona kabisa watu wamekaa wakatengeneza gari.

Njoo na hivyo vi passo vyenu.
Marketing strategy ya TOYOTA hiyo ili mradi cash flow isome, Wamarekani wakija kwetu wanashangaa kuona Hilux Revo kwao hazipooo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…