Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Driving dynamics ya hizi gari za ulaya ipo poa sana, nazungumzia experience binafsi, ukitaka kujua nachozungumzia kaa kwenye bmw au benz yenye same specs na toyota halafu nenda kwa mwendo kasi hata 180km/hr.
Leta feedback.
 
Kuna Crown zinafika hadi bei ya $ 70,000 .. msiwe na dharau wajameni. Hizi crown unazo ziona zimegaa mtaani ni kama BMW zilizo zagaa mtaani, zilizotumika na kwa wenzetu zipo nje ya mda. Ila ukigusa latest ni moto na wengi wa watu wana shindwa mudu gharama.

View attachment 1696437
Mimi siwezi tumia zaidi ya $50,000 kununua any sadam au saloon car. Wakati kuna mashine kama Rangers napata kwa bei chini ya iyo. Kiufupi kachukia gar ya chini na survival ukipata ajar huwa ni ndogo sana. Hizi huwa naziona kama geneza.
 
Jerry's ni mdau mkubwa sana wa European cars (self profiled), Kukubali gari za Toyota ni ujumbe kwa wajerumani hasaa wa humu JF kuwa TOYOTA wanatengeneza gari zenye ubora. Kuhusu kumfuatilia ndio tunamfuatilia sana tu na tupo wengi kweli 44.1k followers, ndio maana karuhusu followers hapo instagram ili afuatiliwe.

Limbukeni ni wewe usiejua nini maana ya followers....Tafuta post yangu yoyote niliyomponda Jerry's weka hapa. Magufuli mwenyewe wanamponda itakuwa Jerry's ?????? Kwendraaaaaaaaaaaaaa hukooooooooooooooooooo
Usiseme ni mdau wa European cars, sema ni mfanya biashara ge is glad kwamba hata wewe toyota user uko excited na post yake. Lengo lale limetimia, haya peleka na wewe toyota yako.
 
Mimi siwezi tumia zaidi ya $50,000 kununua any sadam au saloon car. Wakati kuna mashine kama Rangers napata kwa bei chini ya iyo. Kiufupi kachukia gar ya chini na survival ukipata ajar huwa ni ndogo sana. Hizi huwa naziona kama geneza.
Upo sahihi kabisa, kila mtu na kipenda roho chake, ndio maana wamezalisha za aina mbali mbali, na mwenye pesa basi unakuta aina zote
 
1613146851321.png

Rwanda will forgo millions of dollars in tax exemptions from importers of expensive vehicles as it attracts high-end tourists into the country.
It is the latest attempt to boost tourism, which is struggling to recover from the second wave of Covid-19 infections that have led to new travel restrictions by some countries.
In a letter dated January 22, 2021, the Ministry of Finance instructed the Rwanda Revenue Authority to exempt excise duty, value added tax and withholding tax on imported vehicles valued at $60,000 and above.
Ordinarily, such vehicles each pay an average of Rwf43 million ($43,000) in Customs and clearance taxes, according to the Rwanda Revenue Authority.
The rationale behind the exemptions, as explained in the letter, aims at facilitating the importation of expensive cars to promote high-end tourism, meetings incentives conferences and exhibitions (MICE), and foreign investment.
“It is important to note that the cap on import duty has been catered through the requested stay of application in the EAC pre-budget meeting of May 2020."
"The purpose of this letter is, therefore, to request your good office to implement the government policy adopted by Cabinet,” reads the letter.

Foreign exchange earner​

Despite the pandemic dampening global tourism, Rwanda is maintaining investment in the sector which was the leading foreign exchange earner in 2019, bringing in approximately $498 million in revenue. The target is to grow to at least $800 million by 2024.
The vehicle tax exemption comes just before the Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM) slated for June in Kigali. Rwanda will use the meeting to woo wealthy travellers and investors to spend longer periods in the country, especially at its famous tourist attractions.
The promotion of tax incentives is strongly aligned with the government’s vision to attract investments, promote exports, and support the private sector, driven by ambitious foreign direct investments and export promotion, experts say.
“The government has focused on the tourism and MICE sector, so it is trying to encourage investments in those priority sectors. The incentives may lead to a loss of some tax revenue but overall, the target is that this loss will be compensated by a larger number of investors,” Angelo Musinguzi, senior tax manager at KPMG Rwanda told The EastAfrican.
“The main challenge now is finding those investors who have the capacity to import expensive cars and invest significantly in the country. Without such investments, the incentive will only remain on paper.”
The latest incentive is in addition to a seven-year tax holiday offered to investments worth $50 million since 2015.

Crown za bongo za mwaka 2004,2005. 2006 😅 ni chombo cha usafiri mkuu kama ilivyo ist.
😀 huko ni kulazimisha maziwa kuwa maji eti ni kwasababu vyote ni vimiminika. Tupia picha ya gari yako ya mwaka 2017 tuione mkuu

1613150060460.png

TOYOTA CROWN 2018 Models na bei zake kwa Japanese Yen, Ya bei ya juu ni TZS 158,844,854.69/= na chini ni TZS 101,799,144.29 /= hapo bado hujaweka pesa ya Dr. Edwin P. Mhede

1613150153057.png

1613150214148.png
 
😀 huko ni kulazimisha maziwa kuwa maji eti ni kwasababu vyote ni vimiminika. Tupia picha ya gari yako ya mwaka 2017 tuione mkuu
Nina bmw 320I mwaka 2011 mkuu, haina mwezi.
Niliijua hio gari hapa hapa jf. Hata kuna mtu alitaka tufanye biashara hapa hapa jf nikaona niache niagize mwenyewe.

Sina gari ya mwaka 2017, lakini hii inanifaa,crown ni gari luxury lakini ukweli ni mchungu, crown za bongo za mwaka 2004 si ndio wengi wanazo? na zimekuwa common mno.
Sijataka kusikiliza ya watu eti bmw zipo over engineered, sijui ikifeli umeme unakuwaje......no!!!! nimechukua kitu roho inapenda, na sijajutia maamuzi.

Mtu anakuwa ana gari ya mwaka 2004 halafu anaponda gari za maana kwamba hazifai n.k, n.k....ndio dhumuni la kuanzisha huu uzi kwamba tusikariri maisha, tubadilikeni ndugu zangu.
 
Attachments

  • inboxjf.PNG
    inboxjf.PNG
    9.9 KB · Views: 3

Hizo gari za maana ni zipi mkuu?
 
Na walio na crown za 2015 naona una maoni gani ?
 
Back
Top Bottom