TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Kweli kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hiyo x5 itakuwa chini ya hiyo bei?1.Unalinganisha gari 2 tofauti,competitor wa Lexus rx 450h ni Bmw X5 na sio X3.
2.Screenshot nilizoweka ni za Lexus rx450h base model wkt hio x3 uliyoiweka ni M-Spot trim.
Mimi siwezi tumia zaidi ya $50,000 kununua any sadam au saloon car. Wakati kuna mashine kama Rangers napata kwa bei chini ya iyo. Kiufupi kachukia gar ya chini na survival ukipata ajar huwa ni ndogo sana. Hizi huwa naziona kama geneza.Kuna Crown zinafika hadi bei ya $ 70,000 .. msiwe na dharau wajameni. Hizi crown unazo ziona zimegaa mtaani ni kama BMW zilizo zagaa mtaani, zilizotumika na kwa wenzetu zipo nje ya mda. Ila ukigusa latest ni moto na wengi wa watu wana shindwa mudu gharama.
View attachment 1696437
Usiseme ni mdau wa European cars, sema ni mfanya biashara ge is glad kwamba hata wewe toyota user uko excited na post yake. Lengo lale limetimia, haya peleka na wewe toyota yako.Jerry's ni mdau mkubwa sana wa European cars (self profiled), Kukubali gari za Toyota ni ujumbe kwa wajerumani hasaa wa humu JF kuwa TOYOTA wanatengeneza gari zenye ubora. Kuhusu kumfuatilia ndio tunamfuatilia sana tu na tupo wengi kweli 44.1k followers, ndio maana karuhusu followers hapo instagram ili afuatiliwe.
Limbukeni ni wewe usiejua nini maana ya followers....Tafuta post yangu yoyote niliyomponda Jerry's weka hapa. Magufuli mwenyewe wanamponda itakuwa Jerry's ?????? Kwendraaaaaaaaaaaaaa hukooooooooooooooooooo
Shida iko wapi sasa????Usiseme ni mdau wa European cars, sema ni mfanya biashara ge is glad kwamba hata wewe toyota user uko excited na post yake. Lengo lale limetimia, haya peleka na wewe toyota yako.
Upo sahihi kabisa, kila mtu na kipenda roho chake, ndio maana wamezalisha za aina mbali mbali, na mwenye pesa basi unakuta aina zoteMimi siwezi tumia zaidi ya $50,000 kununua any sadam au saloon car. Wakati kuna mashine kama Rangers napata kwa bei chini ya iyo. Kiufupi kachukia gar ya chini na survival ukipata ajar huwa ni ndogo sana. Hizi huwa naziona kama geneza.
😀 huko ni kulazimisha maziwa kuwa maji eti ni kwasababu vyote ni vimiminika. Tupia picha ya gari yako ya mwaka 2017 tuione mkuuCrown za bongo za mwaka 2004,2005. 2006 😅 ni chombo cha usafiri mkuu kama ilivyo ist.
Crown za bongo za mwaka 2004,2005. 2006 😅 ni chombo cha usafiri mkuu kama ilivyo ist.
😀 huko ni kulazimisha maziwa kuwa maji eti ni kwasababu vyote ni vimiminika. Tupia picha ya gari yako ya mwaka 2017 tuione mkuu
Teh teh teh...Hasira za kumiliki Brevis ( Jini mnyonya damu) alafu unaliuza bei ya kitonga na bado wateja huwaoni!
Unaamua kuzitolea JF....
Kwa jinsi barabara nyingi za Tz zilivyo mbovu, kuweka m150+ kwny saloon car 2WD, ni kujinyanyasa mwenyeweView attachment 1700966
TOYOTA CROWN 2018 Models na bei zake kwa Japanese Yen, Ya bei ya juu ni TZS 158,844,854.69/= na chini ni TZS 101,799,144.29 /= hapo bado hujaweka pesa ya Dr. Edwin P. Mhede
View attachment 1700967
View attachment 1700968
Hayo yanawahusu wanyonge wanaokopa Ist then wanakatwa kwny mshahara kwa miaka 6,ukimwambia mtu wa masaki kazini posta hawajui hayo.Kwa jinsi barabara nyingi za Tz zilivyo mbovu, kuweka m150+ kwny saloon car 2WD, ni kujinyanyasa mwenyewe
Nina bmw 320I mwaka 2011 mkuu, haina mwezi.😀 huko ni kulazimisha maziwa kuwa maji eti ni kwasababu vyote ni vimiminika. Tupia picha ya gari yako ya mwaka 2017 tuione mkuu
Hizo gari za maana ni zipi mkuu?Nina bmw 320I mwaka 2011 mkuu, haina mwezi.
Niliijua hio gari hapa hapa jf. Hata kuna mtu alitaka tufanye biashara hapa hapa jf nikaona niache niagize mwenyewe.
Sina gari ya mwaka 2017, lakini hii inanifaa,crown ni gari luxury lakini ukweli ni mchungu, crown za bongo za mwaka 2004 si ndio wengi wanazo? na zimekuwa common mno.
Sijataka kusikiliza ya watu eti bmw zipo over engineered, sijui ikifeli umeme unakuwaje......no!!!! nimechukua kitu roho inapenda, na sijajutia maamuzi.
Mtu anakuwa ana gari ya mwaka 2004 halafu anaponda gari za maana kwamba hazifai n.k, n.k....ndio dhumuni la kuanzisha huu uzi kwamba tusikariri maisha, tubadilikeni ndugu zangu.
Gari ambazo waTanzania wanaziogopa kuzimiliki kwa uoga na kuzipatia negative reviews kwa sababu ya uoga wao.Hizo gari za maana ni zipi mkuu?
Na walio na crown za 2015 naona una maoni gani ?Nina bmw 320I mwaka 2011 mkuu, haina mwezi.
Niliijua hio gari hapa hapa jf. Hata kuna mtu alitaka tufanye biashara hapa hapa jf nikaona niache niagize mwenyewe.
Sina gari ya mwaka 2017, lakini hii inanifaa,crown ni gari luxury lakini ukweli ni mchungu, crown za bongo za mwaka 2004 si ndio wengi wanazo? na zimekuwa common mno.
Sijataka kusikiliza ya watu eti bmw zipo over engineered, sijui ikifeli umeme unakuwaje......no!!!! nimechukua kitu roho inapenda, na sijajutia maamuzi.
Mtu anakuwa ana gari ya mwaka 2004 halafu anaponda gari za maana kwamba hazifai n.k, n.k....ndio dhumuni la kuanzisha huu uzi kwamba tusikariri maisha, tubadilikeni ndugu zangu.
Hata crown ya mwaka 2010 ni gari ya maana mkuu.Na walio na crown za 2015 naona una maoni gani ?
Royalsaloom, Athlete au Majesta ?Hata crown ya mwaka 2010 ni gari ya maana mkuu.