Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

Bora kusamehe na kusahau yapite ili watu waendelee na maisha kwani duniani mambo haya yanatokea sana na yanaendelea kuonekana kila siku
Siasa chafu na tamaa ya madaraka ndio chanzo kikubwa cha migogoro duniani
 
Legacy imeshajikamilisha. Kuibomoa utabomoka mwenyewe.

Yeyote anaetaka kura 2025 itabidi ajitahidi kuyaficha maovu yote ya jiwe ili aungwe mkono.

Siomuoni mtu yeyote Kuanzia Sasa akimkashifu JPM, lambda asiependa uongozi.
 
kwamba kila aliyeuawa kipindi cha utawala wa jpm bas jpm ndo alikuwa anahusika ? yaan mtu akoswe kisha wamuache asafirishwe mpk Dar kisha Kenya ? hz stori ni za kiabunuasi zaid
 
kwamba kila aliyeuawa kipindi cha utawala wa jpm bas jpm ndo alikuwa anahusika ? yaan mtu akoswe kisha wamuache asafirishwe mpk Dar kisha Kenya ? hz stori ni za kiabunuasi zaid
 
Unataka jibu tena gani hapo wakati tayari jibu nimekupa, ikiwa hujaona hilo jibu basi wewe ni mfu unaye tembea
Kwa umbumbumbu huu ndiyo maana vijana tutabaki kuwa watazamaji tu. Wazee wataendelea kukalia viti vya uongozi. Vijana wengi ni weupe kichwani.

Unaambiwa tetea hoja yako huwezi.
 
Na kwa ujinga ulionao Umetoa fursa kubwa ya wahuni kutawala hii nchi.

Kubaki kuwa mjinga ni uamuzi tu.

The choice is yours.

Unataka kusema kwamba bibie sio mkatili?

Vipi kuhusu mzee wa Msoga je hakuwa mkatili?
Mimi nasema yule mhutu alikuwa katili sana,hayo ya huyo bibie na Mzee wa msoga unajua wewe na sijakulazimisha ukubaliane na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…