Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Alikuwa mbinguni 😂Kwani awamu ya tano SSH alikua nani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mbinguni 😂Kwani awamu ya tano SSH alikua nani,
Legacy imeshajikamilisha. Kuibomoa utabomoka mwenyewe.Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya TAL isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.
Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo lwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya SSH ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake
Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Kwa hiyo awamu zingine hazikuwa za makatiri?Hayo mambo yalikuwa ya awamu ya tano tu
Sasa mbona unaikimbia hoja? Umeulizwa kwamba viongozi wa Sasa wamemuua nani?Uuaji sio lazima utumie bastora ama sime.
Ikiwa hujui kuwa hao waliopo sasa ni wauaji basi wewe ni maiti inayotembea.
Kwa hiyo awamu zingine hazikuwa za makatiri?Hayo mambo yalikuwa ya awamu ya tano tu
WatanzaniaSasa mbona unaikimbia hoja? Umeulizwa kwamba viongozi wa Sasa wamemuua nani?
Tuishije sasaTena wala hana haja ya kupiga kampeni akionyesha gari tu watapata kura za huruma!
Unataka jibu tena gani hapo wakati tayari jibu nimekupa, ikiwa hujaona hilo jibu basi wewe ni mfu unaye tembeaSasa mbona unaikimbia hoja? Umeulizwa kwamba viongozi wa Sasa wamemuua nani?
kwamba kila aliyeuawa kipindi cha utawala wa jpm bas jpm ndo alikuwa anahusika ? yaan mtu akoswe kisha wamuache asafirishwe mpk Dar kisha Kenya ? hz stori ni za kiabunuasi zaidWatanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya TAL isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.
Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo lwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya SSH ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake
Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
kwamba kila aliyeuawa kipindi cha utawala wa jpm bas jpm ndo alikuwa anahusika ? yaan mtu akoswe kisha wamuache asafirishwe mpk Dar kisha Kenya ? hz stori ni za kiabunuasi zaidWatanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya TAL isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.
Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo lwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya SSH ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake
Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
kwahiyo unasubir wafe ndo uanze piga keleleKama ni rahisi hivyo,bora kuwa mjinga tu.
Kwa umbumbumbu huu ndiyo maana vijana tutabaki kuwa watazamaji tu. Wazee wataendelea kukalia viti vya uongozi. Vijana wengi ni weupe kichwani.Unataka jibu tena gani hapo wakati tayari jibu nimekupa, ikiwa hujaona hilo jibu basi wewe ni mfu unaye tembea
Nimeikana sentensi yako.Siiijui na si yangu.kwahiyo unasubir wafe ndo uanze piga kelele
Mimi nasema yule mhutu alikuwa katili sana,hayo ya huyo bibie na Mzee wa msoga unajua wewe na sijakulazimisha ukubaliane na mimi.Na kwa ujinga ulionao Umetoa fursa kubwa ya wahuni kutawala hii nchi.
Kubaki kuwa mjinga ni uamuzi tu.
The choice is yours.
Unataka kusema kwamba bibie sio mkatili?
Vipi kuhusu mzee wa Msoga je hakuwa mkatili?
ukabila huuYule mhutu alikuwa katili