4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kemea huyu aliyebakia madarakani si alikwepo awamu ya tanoNimeikana sentensi yako.Siiijui na si yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kemea huyu aliyebakia madarakani si alikwepo awamu ya tanoNimeikana sentensi yako.Siiijui na si yangu.
Hoja ya kipumbavu ya mwaka...Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya TAL isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.
Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo lwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya SSH ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake
Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo
Kwani mimi ukisema kuwa ni Msukuma nao ni ukabila?ukabila huu
Kutumia jina la magufuli kumchafua kwa wananchi ni kujipiga risasi wenyewe... hamna mwananchi atawaelewa...Wazo lako limekuwa ovu baada ya kulitaja jina la JPM.
Unadhani unaweza kuwashawishi watu waamini kuwa JPM alikuwa mkatili Ila hawa waliopo madarakani sasa sio makatili?
Una ka unafiki kakubwa.
Wanaombebesha madhambi JPM ni wale waliokuwa wakwepa kodi enzi za utawala wa JPM, walipigwa kote kote kwa sababu JPM hakucheka na wezi ama wakwepa kodi.kwamba kila aliyeuawa kipindi cha utawala wa jpm bas jpm ndo alikuwa anahusika ?
Hakika mtu yule alikuwa mwovu sanaKutumia jina la magufuli kumchafua kwa wananchi ni kujipiga risasi wenyewe... hamna mwananchi atawaelewa...
Mbona umepandwa jazba kama umeibiwa shilingi mia na kondakta wa daladala?Umeambiwa kwamba wawe na paredi ya kutembeza gari tu bila kuongea hoja?Tulia na ufikirie.Hoja ya kipumbavu ya mwaka...
Kwamba hamna hoja za kuwasilisha kwa wananchi??
Kwamba mpinzani sio samia bali ni magufuli??
WHat a lame dude!!
Sababu mojawapo upinzani unazidi kupotea licha ya kwamba kuna fursa ni mawazo kama haya... hii inatoka kwa wafuasi wengi wa upinzani mpaka viongozi... mentality ya kuwa defeated...
MKitumia hoja ya kumchafua magufuli ni mnamfanyia kampeni sisiemu...
unaitaj maombi asee , mambo yote haya yaliyotokea ndan ya miaka 3 bado unataka kufungulia macho ? wasanii kukimbia nchi , wakosoaji kuvuliwa nyadhifa zao , wengine kupewa kesi za uhaini ( kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa ) , wamasai kuuliwa kisa wanapigania ardhi zao , kufunguliwa maji ya bwawa la umeme yalioua makumi ya watu ili tu kuonesha JP alijenga bwawa nje ya ubora , Kupora machinga biashara zao ilihali watu wanaiba 42B bado wanaombwa kujiuzuru na hawafanyi hivyo , mfumuko wa bei za vitu , mlipuko wa panya road walioua makumi ya watu , uporaji wa maeneo ya watu na ugawaji wa maliasilI za nchi kwa mikataba mibovu , rushwa imelithiri hasa vituo vya polisi na vituo vya afya , upigaji wa kodi zetu yaan kidaraja cha 20M wanatumia 200M yaan chumba cha mlinzi cha 5M wanatumia 11M yaan kidimbwi cha kuchimba kwa 600K wanasema wamejenga kwa 600M halaf hakijasakafiwaSasa mbona unaikimbia hoja? Umeulizwa kwamba viongozi wa Sasa wamemuua nani?
Kuna haja gan ya kumtambua mtu kwa kabila lake ? je kabila lake linahusiana vipi na matendo yake ? je ni kwel Tanzania kuna wahutu ? je huoni umefikia hatua ya kumvua uraia ? je ukishitakiwa utasema wanatumia madaraka yao ?Kwani mimi ukisema kuwa ni Msukuma nao ni ukabila?
Umbumbumbu ni jadi ya wabongo, wewe ukiwa miongoni mwao wabongo mbumbumbu nenda ukamsabahi robot Eunice pale bungeni mbumbumbu wa haja wewe.Kwa umbumbumbu huu ndiyo maana vijana tutabaki kuwa watazamaji tu.
Unataka kusema hata kikwete jr ni mzee? Acha ufala nduguWazee wataendelea kukalia viti vya uongozi.
Hao vijana weupe kichwani imekuwaje wakawa madarakani, mtu kama Nape ni mweupe kabisa kichwani Ila anatembelea V8 huku akisalimiana na Eunice pale bungeni 😂😂Vijana wengi ni weupe kichwani.
Unaambiwa tetea hoja yako huwezi.
Na yeyote mwenye kulitumia jina JPM ili kumchafua JPM hana akili kabisa.Kutumia jina la magufuli kumchafua kwa wananchi ni kujipiga risasi wenyewe... hamna mwananchi atawaelewa...
Chiembe hebu njoo usome huu uozo wa unaodai hawajawahi kuwa makatiliunaitaj maombi asee , mambo yote haya yaliyotokea ndan ya miaka 3 bado unataka kufungulia macho ? wasanii kukimbia nchi , wakosoaji kuvuliwa nyadhifa zao , wengine kupewa kesi za uhaini ( kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa ) , wamasai kuuliwa kisa wanapigania ardhi zao , kufunguliwa maji ya bwawa la umeme yalioua makumi ya watu ili tu kuonesha JP alijenga bwawa nje ya ubora , Kupora machinga biashara zao ilihali watu wanaiba 42B bado wanaombwa kujiuzuru na hawafanyi hivyo , mfumuko wa bei za vitu , mlipuko wa panya road walioua makumi ya watu , uporaji wa maeneo ya watu na ugawaji wa maliasilI za nchi kwa mikataba mibovu , rushwa imelithiri hasa vituo vya polisi na vituo vya afya , upigaji wa kodi zetu yaan kidaraja cha 20M wanatumia 200M yaan chumba cha mlinzi cha 5M wanatumia 11M yaan kidimbwi cha kuchimba kwa 600K wanasema wamejenga kwa 600M halaf hakijasakafiwa
Kiufupi ndan ya miaka hii 3 tumeona uborongaji mwingi sana yakiwemo mauaji pia ya direct na indirect
Na aliyemwagia tindikali Kubenea unamjua?Nasikia S8 jamaa alimfamyizia yeye mwenyewe kwa kutumia GaniFupi
Huyo mtu wenu alikuwa muuaji kwa asili ya kabila lao la wahutu. Tunashuru tu kuwa corona ilitusaidia watanzania kuliondoa lile jinamizi.Wanaombebesha madhambi JPM ni wale waliokuwa wakwepa kodi enzi za utawala wa JPM, walipigwa kote kote kwa sababu JPM hakucheka na wezi ama wakwepa kodi.
Baada ya kufa kwa JPM mama akawarudishia ulaji wao hao wakwepa kodi, na ndio wanakula mema yote ya nchi hii na kodi hawalipi.
Na ndio hao hao wanaoimba mapambio eti JPM alikuwa muuaji.
Wasilolijua hao wahuni ni hili za siku zao kuhesabiwa.