Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
means speed iikuwa kubwa auGari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
View attachment 3356346
View attachment 3356345
Taha mwaipaya, siku 10 hizi za dhulhijja anatakiwa awe karibu na muumba wake badala ya kushiriki ktk migoma kama hio. Au sio muislam yeye?Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
View attachment 3356346
View attachment 3356345
View attachment 3356347View attachment 3356348
Mungu ni mwema wamesalimika kifo na majeraha makubwaGari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
View attachment 3356346
View attachment 3356345
View attachment 3356347View attachment 3356348
Hilo ni gari la migoma kweli au matangazo ? Sidhani kama ni mfano wa lile la TOT lile ndo la migoma hadi lina sehemu ya kisaata rumba.Taha mwaipaya, siku 10 hizi za dhulhijja anatakiwa awe karibu na muumba wake badala ya kushiriki ktk migoma kama hio. Au sio muislam yeye?
Wakati mwingine unakuwa na upumbavu mwingi sana.Taha mwaipaya, siku 10 hizi za dhulhijja anatakiwa awe karibu na muumba wake badala ya kushiriki ktk migoma kama hio. Au sio muislam yeye?
HakupendaMwaipaya ana makengeza, kwa nini walimruhusu kuendesha?
CONFIRMED YUKO SALAMA KABISA! ASANTE MUNGUAJALI MBAYA YAMKUMBA HECHE, ZIARA YA “NO REFORM NO ELECTION” YASITISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA
Na Mwandishi Wetu – Morogoro
Katika kile kilichoonekana kama pigo kubwa kwa harakati za kisiasa zinazolenga kudai mageuzi ya kweli kabla ya uchaguzi mkuu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mheshimiwa John Heche, amenusurika kifo katika ajali mbaya ya gari iliyotokea leo asubuhi maeneo ya Msamvu, Morogoro.
Gari ya miziki iliyokuwa kwenye msafara wake ikielekea Kivukoni (Ulanga), Igima (Mlimba) na Ifakara Mjini (Kilombero) kwa ajili ya kuanza rasmi operesheni ya #NoReformsNoElection Kanda ya Kati, ilipata ajali ya kutisha na kupelekea viongozi waliokuwa ndani yake kujeruhiwa vibaya, akiwemo Mheshimiwa Heche mwenyewe ambaye ameripotiwa kuwa katika hali mahututi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda na viongozi waliokaribu na msafara huo, Mheshimiwa Heche alivunjika vibaya miguu na mbavu katika ajali hiyo na kwa sasa amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro, akisubiri rufaa kwenda Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).
Kiongozi wa gari hiyo, Bw. Twaha Mwaipaya, naye ameripotiwa kujeruhiwa na kwa sasa yupo chini ya uangalizi maalum wa madaktari.
Ajali hii imekuja wakati harakati za #NoReformsNoElection zilikuwa zimepamba moto, zikiwa zimekusudia kupeleka ujumbe mzito kuhusu umuhimu wa kuwepo kwa mabadiliko ya kisiasa na kisheria kabla ya Watanzania kurudi kwenye sanduku la kura.
Kwa sasa, operesheni hiyo imesitishwa kwa muda usiojulikana huku viongozi wa chama wakikusanyika Morogoro kupanga hatua za dharura na kuangalia hali ya kiafya ya kiongozi wao.
Wachambuzi wa mambo ya siasa wanasema tukio hili ni jaribio kubwa kwa nguvu ya upinzani nchini na linaweza kubadili mwelekeo wa mjadala wa kisiasa, hasa iwapo hali ya afya ya Mheshimiwa Heche itaendelea kuzorota.
Tutawaletea taarifa zaidi kadri tunavyozipokea kutoka kwa madaktari na timu ya chama iliyopo hospitalini.
Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
Bora kuwa na makengeza ya macho. Kuliko ya akili! Kuamini kwamba SAMIA SULUHU HASSAN Naye ni msomi wa PHD! Wakati hata form four hajamqliza vizurMwaipaya ana makengeza, kwa nini walimruhusu kuendesha?
Pole makamandaGari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
Hii script iliandaliwa Lumumba?!AJALI MBAYA YAMKUMBA HECHE, ZIARA YA “NO REFORM NO ELECTION” YASITISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA
Na Mwandishi Wetu – Morogoro
Katika kile kilichoonekana kama pigo kubwa kwa harakati za kisiasa zinazolenga kudai mageuzi ya kweli kabla ya uchaguzi mkuu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mheshimiwa John Heche, amenusurika kifo katika ajali mbaya ya gari iliyotokea leo asubuhi maeneo ya Msamvu, Morogoro.
Gari ya miziki iliyokuwa kwenye msafara wake ikielekea Kivukoni (Ulanga), Igima (Mlimba) na Ifakara Mjini (Kilombero) kwa ajili ya kuanza rasmi operesheni ya #NoReformsNoElection Kanda ya Kati, ilipata ajali ya kutisha na kupelekea viongozi waliokuwa ndani yake kujeruhiwa vibaya, akiwemo Mheshimiwa Heche mwenyewe ambaye ameripotiwa kuwa katika hali mahututi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda na viongozi waliokaribu na msafara huo, Mheshimiwa Heche alivunjika vibaya miguu na mbavu katika ajali hiyo na kwa sasa amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro, akisubiri rufaa kwenda Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).
Kiongozi wa gari hiyo, Bw. Twaha Mwaipaya, naye ameripotiwa kujeruhiwa na kwa sasa yupo chini ya uangalizi maalum wa madaktari.
Ajali hii imekuja wakati harakati za #NoReformsNoElection zilikuwa zimepamba moto, zikiwa zimekusudia kupeleka ujumbe mzito kuhusu umuhimu wa kuwepo kwa mabadiliko ya kisiasa na kisheria kabla ya Watanzania kurudi kwenye sanduku la kura.
Kwa sasa, operesheni hiyo imesitishwa kwa muda usiojulikana huku viongozi wa chama wakikusanyika Morogoro kupanga hatua za dharura na kuangalia hali ya kiafya ya kiongozi wao.
Wachambuzi wa mambo ya siasa wanasema tukio hili ni jaribio kubwa kwa nguvu ya upinzani nchini na linaweza kubadili mwelekeo wa mjadala wa kisiasa, hasa iwapo hali ya afya ya Mheshimiwa Heche itaendelea kuzorota.
Tutawaletea taarifa zaidi kadri tunavyozipokea kutoka kwa madaktari na timu ya chama iliyopo hospitalini.
Wawe Makini Mambo ni mengi.Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
poleni makamanda shetani bado hajalalaGari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari hiyo ilikuwa inaongozwa na Twaha Mwaipaya, wamepata majeraha na kupelekwa hospitali kwa matibabu.
acha kumsuta Muumba utaongezewa laana bureMwaipaya ana makengeza, kwa nini walimruhusu kuendesha?