Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?

Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japann.

Funguka Mkuu..!
25 back in 2013 alteza gita
 
27 tu nilikuwa na Rav 4 kipisi, hapo sina hata kiwanja
Kawaida kwa wengi... Mimi nimebadilisha gari kama 4 hata kiwanja huko mashambani sina eti najipa moyo nitanunua mbezi beach siwezi ishi maporini bunju wala wazo au madale huko hakuna huduma kipindi hicho. Ama kweli sasa hivi nimejenga mbali zaidi ya huko maana huko now hakushikiki.
 
Kwanza mi sipendi ugomvi hilo ondoa shaka kabisaa!! G Wagon yangu isikose mafuta tu!

Good nyt daddie 😘
Damu ya Yesu ikulinde, uniote thawaa? πŸ˜‰
Thank you my dear uwe na usiku mwema acha nivute picha sasa nilale πŸ˜„
Nakupa card kabisa
 
🀣🀣🀣🀣 dada Joannah wahi shemeji anakusubiri akupe funguo ya mkangafu
Ye mwenyewe anapanda mwendokasi,hiyo funguo kaitoa wapi?maana ya geto tu Hana labda anipe ya trunker😁😁😁
 
Kwanza mi sipendi ugomvi hilo ondoa shaka kabisaa!! G Wagon yangu isikose mafuta tu!

Good nyt daddie 😘
Damu ya Yesu ikulinde, uniote thawaa? πŸ˜‰
Kwa huyo anaweza kweli kukupa..ila naogopa kumpitisha nitakuwa YudaπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ye mwenyewe anapanda mwendokasi,hiyo funguo kaitoa wapi?maana ya geto tu Hana labda anipe ya trunker😁😁😁
Kasema ana phoenix πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikakumbuka ww unapenda vitu vya kijinga kijinga km baiskeli
 
Kwa huyo anaweza kweli kukupa..ila naogopa kumpitisha nitakuwa YudaπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Mpaka dada umekubali basi kweli daddie ananifaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alhamdulilah Imenichukua Miaka 27 Hapa Duniani Kumiliki Gari Yangu Mwenyewe (Harrier) Tena Bila Mkopo wowote Wala Sio Zawadi Ati Nilipewa na Mtu...!! Wallah Kua na Gari ni Raha Sana Tena Yenye Hadhi

Sina Uzee Wowote ni Kijana Mdogo wala Sina Pesa Nyingi ila Kudra Zake Mola Kanijalia Hiki Kijiusafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…