Gari yangu imeingia maji

Sku ingne in case umezama na gari izime fasta hiyoo maji yameshauwa kuazia valve, plug, gasket na pengne yameingia hadi njia za oil .....soo hapo n kumwaga engine karibu yote .....gari inapoishiwa nguvu ndan ya maji huvuta maji meng kwa nguvu ndan ya engine
 
Duuuuh aisee 😳😳😳😳
 
Ila haikuzama yote mkuu
 
engine oil ishamix na maji , air cleaner kama ipo wet inamaanisha gari halivuti hewa vizuri , badili air cleaner, plugs zote na engine oil kisha iwache wiki nzima just incase mechatronics za dashboard zimegusa maji popote ikakue.
Ila jua ndani ya mwaka lazima engine ikupige hela ndefu
 
 
Tuliangalia upande wa injini kulikuwa pakavu kabisa pale pale ilipokuwa imenasa yaani maji hayakufika mengi kwenye injini maana haikuzama yote mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…