RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Sku ingne in case umezama na gari izime fasta hiyoo maji yameshauwa kuazia valve, plug, gasket na pengne yameingia hadi njia za oil .....soo hapo n kumwaga engine karibu yote .....gari inapoishiwa nguvu ndan ya maji huvuta maji meng kwa nguvu ndan ya engineHabari za majukumu wakuu?
Gari yangu aina ya Toyota RAV 4 miss TZ jana ilinasa kwenye dimbwi la maji kwenye kina kirefu kidogo ikabidi mpaka tuite watu yale magari ya breakdown waje waitoe baada ya juhudi zetu kugonga mwamba..
Sasa wakuu kwanza gari baadae ikagoma kuwaka kabisa tukachaji betri ndo ikawaka.. Sasa baada ya hapo ikawa ina mis gia na kupoteza nguvu kabisa na sasa imezima kabisa na haiwaki..
Naombeni msaada wa kitaalam hapa shida itakuwa ni nini maana mimi sina uelewa sana kuhusu magari..
Natanguliza shukrani ndugu zangu