Gari yangu inakimbia sana!

Gari yangu inakimbia sana!

JF kuna mtu asie na gari..?😄
Jf ukitia mguu Jf, umesha kuwa tajiri, hivyo sio ajabu wana JF wote kumiliki magari,japo hata Passo😂😂🏃🏃🏃.HamienJF tokeni kwa maister,FB,Tikitoku ,Snap chat na kwenye mauza uza mengineyo 😂🏃🏃😂
 
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.

Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?

Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.

Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:

A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
  • IST zote
  • Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
  • Premio na mwenzie Allion
  • Nissan Dualis na X-trail
  • Rumion
  • RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)

B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
  • Subaru Forester (model karibu zote)
  • Ford Ranger (hii gari noma)
  • Toyota Hilux
  • Landcruiser (VX na jamii yake)
  • ALPHARD (toleo jipya)
  • Toyota Fortune
  • Discovery
  • BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
  • Toyota Crown
  • Brevis
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
  • Harrier na Vanguard
  • Range Rover
  • Subaru Impreza

Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.

Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).

View attachment 2738606
Omba mungu tyre isibasti maana tutakuja kukutindua hapo na tindo
 
Wewe ndio mjf halisi sasa.... sio wale wanaotuletea habari hpa wanalilia mademu wanawatesa mara sijui mimi mwenzenu nina matatzo wakati kikawaida jf wote tuna ndinga na na ni washua kwenye mbususu tukisimamia shoo sasa! ni lisaa na nusu bao la kwanza kifupi wjf tumekamilika kila idara
 
Shida hao wote uliowapita hawakuwa wanajua kama mnashindana any way karbu kibaja maili moja
 
Ha ha ha ha
Kwamba Mkuu unataka Kusema Passo unauwezo wa kuivimbia hii chuma

4-2.jpg
 
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.

Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?

Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.

Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:

A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
  • IST zote
  • Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
  • Premio na mwenzie Allion
  • Nissan Dualis na X-trail
  • Rumion
  • RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)

B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
  • Subaru Forester (model karibu zote)
  • Ford Ranger (hii gari noma)
  • Toyota Hilux
  • Landcruiser (VX na jamii yake)
  • ALPHARD (toleo jipya)
  • Toyota Fortune
  • Discovery
  • BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
  • Toyota Crown
  • Brevis
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
  • Harrier na Vanguard
  • Range Rover
  • Subaru Impreza

Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.

Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).

View attachment 2738606
Angalia isije ikaungua ukajuta kushindana na gari zenye kueleweka,ushauri wangu,toa kabisa fire extinguisher kule nyuma,ukae nayo kwenye kiti hapo mbele,maana mkuu naona hiyo gari kama umeichoka...
 
Wewe ndio mjf halisi sasa.... sio wale wanaotuletea habari hpa wanalilia mademu wanawatesa mara sijui mimi mwenzenu nina matatzo wakati kikawaida jf wote tuna ndinga na na ni washua kwenye mbususu tukisimamia shoo sasa! ni lisaa na nusu bao la kwanza kifupi wjf tumekamilika kila idara
Na ukianzisha uzi wa tiba ya kuongeza nguvu wanamiminika inbox mpaka unashangaa ndio hawa mashujaa
 
Back
Top Bottom