Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
- Thread starter
- #41
Naonaga wazee wengi ndo wanazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naonaga wazee wengi ndo wanazo
hell to ze yeah!I'm riding my 1968 tired beat up Volkswagen beetle like a gorilla boss!
Fvck everybody else.....y'all gotta relax!
Picha tafadhalichukua toyota surf utastarehe kwa safari na mjini pia ni gari tamu sana haisumbui ovyo safari ni safari kweli ukiwa upo town misele kama kawa ipo bomba sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa mil10?chukua toyota surf utastarehe kwa safari na mjini pia ni gari tamu sana haisumbui ovyo safari ni safari kweli ukiwa upo town misele kama kawa ipo bomba sana
😂😂😂😂😂 gari gani yenye muundo wa kitimoto??? Nimewaza kinyama hahah au ni hii Will Vs?Muundo sijui (Mimi ni mshamba jamani[emoji1751][emoji1751] najuaga tu gari moja IST coz rafiki yangu kazini analo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na cruzer ya Mzee [emoji1732]
Ila sipendi gari flan zinafanana na kiti Moto kimuundo
Zingine zote napenda
Kifusi ama kama kibuti cha Junior 🤣🤣🤣😂😂😂Gari kama kifusi...
😂😂😂😂😂😂😂I'm riding my 1968 tired beat up Volkswagen beetle like a gorilla boss!
Fvck everybody else.....y'all gotta relax!
Chukua spacio new model na pia usinunue gari zenye umeme mwingi kama ractis mara nyingi zinawaka moto barabaraniHahaha eti magari ya saluni,
Mimi sitaki gari ya kunifilisi ,nataka gari ambalo mafuta yanatumika kidogo
njoo pm nkuuzie noah mpya
Sky,Bei zake vipi,hiyo hela nilonayo itatosha???
Kuna toyota porte na funcargo mkuu!😂😂😂😂😂 gari gani yenye muundo wa kitimoto??? Nimewaza kinyama hahah au ni hii Will Vs?
View attachment 1163492
Au hii Will V
View attachment 1163493
Au hii hapa will vs new model
View attachment 1163495
Binafsi hizi ndio gari za kishenzi toka Toyota ambazo ni extremely Ugly na siwezi kaa nikaenda kununua hata ziuzwe bei rahisi kiasi gani 🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]zipo sizijui jina ofisini Kuna mtu analo Yani utacheka mbele nyembamba kidogo nyuma pana ingefanana na hiyo alopewa qchila Ila enyewe IPO chini kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gari gani yenye muundo wa kitimoto??? Nimewaza kinyama hahah au ni hii Will Vs?
View attachment 1163492
Au hii Will V
View attachment 1163493
Au hii hapa will vs new model
View attachment 1163495
Binafsi hizi ndio gari za kishenzi toka Toyota ambazo ni extremely Ugly na siwezi kaa nikaenda kununua hata ziuzwe bei rahisi kiasi gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bei gani mkuuNjoo nikuuzie Grand Vitara namba D iko bomba kabisa bado. Bei ya ki Jeifu tu usiogope
Asante kwa ushauriChukua spacio new model na pia usinunue gari zenye umeme mwingi kama ractis mara nyingi zinawaka moto barabarani
Nipo makao makuu ya nchi mkuuUnaweza kuagiza mwenyewe
Utaserve hella na utajua ata cku nyingine utaagiza vzr
Ingia ukurasa wa either befoward au SBT au tradecar view ufungue accnt then uagize, kwenye kulipa tu utaenda kulipia kwenye branch zao apa tanzania
Ila kuna aina za gar kutokana na mahali unapokaa,
Kama ni kwenye folen sana tafta zenye cc ndogo
Kama ni mkoani sana tafta gar ngum ulio na engine efficient kubwa
Kumbuka: unaweza nunua gar yenye kuserve mafuta ila bei ambayo umeserve kwenye mafuta ukawa ni kununua spear na mafundi kila siku
Ni hayo tu
Kama ni kwenye follen