Gari za kidada

Gari za kidada

Dahhh...
tapatalk_1562647940254.jpeg
 
Unaweza kuagiza mwenyewe
Utaserve hella na utajua ata cku nyingine utaagiza vzr
Ingia ukurasa wa either befoward au SBT au tradecar view ufungue accnt then uagize, kwenye kulipa tu utaenda kulipia kwenye branch zao apa tanzania
Ila kuna aina za gar kutokana na mahali unapokaa,
Kama ni kwenye folen sana tafta zenye cc ndogo
Kama ni mkoani sana tafta gar ngum ulio na engine efficient kubwa
Kumbuka: unaweza nunua gar yenye kuserve mafuta ila bei ambayo umeserve kwenye mafuta ukawa ni kununua spear na mafundi kila siku
Ni hayo tu
Kama ni kwenye follen
 
Muundo sijui (Mimi ni mshamba jamani[emoji1751][emoji1751] najuaga tu gari moja IST coz rafiki yangu kazini analo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na cruzer ya Mzee [emoji1732]

Ila sipendi gari flan zinafanana na kiti Moto kimuundo
Zingine zote napenda
😂😂😂😂😂 gari gani yenye muundo wa kitimoto??? Nimewaza kinyama hahah au ni hii Will Vs?
images.jpeg

Au hii Will V
images (w).jpeg

Au hii hapa will vs new model
images (1).jpeg

Binafsi hizi ndio gari za kishenzi toka Toyota ambazo ni extremely Ugly na siwezi kaa nikaenda kununua hata ziuzwe bei rahisi kiasi gani 🤣🤣🤣
 
Hahaha eti magari ya saluni,

Mimi sitaki gari ya kunifilisi ,nataka gari ambalo mafuta yanatumika kidogo
Chukua spacio new model na pia usinunue gari zenye umeme mwingi kama ractis mara nyingi zinawaka moto barabarani
 
tafdhari agiza IST,nasisitiza AGIZA,usinunue bongo,utajuta sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gari gani yenye muundo wa kitimoto??? Nimewaza kinyama hahah au ni hii Will Vs?
View attachment 1163492

Au hii Will V
View attachment 1163493

Au hii hapa will vs new model
View attachment 1163495

Binafsi hizi ndio gari za kishenzi toka Toyota ambazo ni extremely Ugly na siwezi kaa nikaenda kununua hata ziuzwe bei rahisi kiasi gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]zipo sizijui jina ofisini Kuna mtu analo Yani utacheka mbele nyembamba kidogo nyuma pana ingefanana na hiyo alopewa qchila Ila enyewe IPO chini kidogo
 
Unaweza kuagiza mwenyewe
Utaserve hella na utajua ata cku nyingine utaagiza vzr
Ingia ukurasa wa either befoward au SBT au tradecar view ufungue accnt then uagize, kwenye kulipa tu utaenda kulipia kwenye branch zao apa tanzania
Ila kuna aina za gar kutokana na mahali unapokaa,
Kama ni kwenye folen sana tafta zenye cc ndogo
Kama ni mkoani sana tafta gar ngum ulio na engine efficient kubwa
Kumbuka: unaweza nunua gar yenye kuserve mafuta ila bei ambayo umeserve kwenye mafuta ukawa ni kununua spear na mafundi kila siku
Ni hayo tu
Kama ni kwenye follen
Nipo makao makuu ya nchi mkuu
 
Back
Top Bottom