Mtoa mada umefanya utafiti gani kuhusu hizi gari za kaburu au ndio stories za vijiweni?,sasa soma hii, gari za SA ni bora sana kulinganisha ni mikebe inayokuja nchini kwa meli na nchi inakuwa kama dumping area kwa uchafu huu, gari ya kaburu inatambaa yenyewe na elewa Joberg to Dar ni almost 3500km na ukitokea mother city to Dar ni zaidi ya 5000km, gari za Buru zipo imara sana, maana barabara zao na services za magari haya ni top class, tembea hapa Dar na linganisha gari za mikebe na za buru, royal families zote zinatumia gari za buru, ukihitaji pick up nenda kanunue kwa wakulima wa kikaburu ,saloons cars nenda kanunue kwenye Minada ya banks, epuka kununua gari kwenye showrooms za wapopo utapigwa, wapopo ni kenges wakubwa ndio maana ushelisheli imewapiga marufuku kuingia, hapa wanaingia kama choo