Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wana roho mbaya sana hao ukiwa na hela hawachelewi kukufanyia mpango ukauawa wakaondoka na hela anawaita ndugu zake tuBalaa lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana roho mbaya sana hao ukiwa na hela hawachelewi kukufanyia mpango ukauawa wakaondoka na hela anawaita ndugu zake tuBalaa lipi?
Wanaigeria mkuuWapopo ndo kina nan mkuu
Japan ni nchi ya visiwa nadra sana kukuta 200km straight like Zanzibar. Nenda US; East-West coast you're talking of over 4k km na watu wana-drive! Similar to SA compared to Japan.Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
Tabata-Posta kwenda na kurudi si chini ya 22 km kwa wastani, ungesema si chini ya km 100 hapo sawa na sio hiyo 30 yako.Kwa maana ya km nyingi ndio kuchakaa kwa injini, inawezekana!
Tofauti yao na sisi ni kuwa, li nchi lao ni likuuubwa na lina barabara za lami mpaka vichochoroni.
Ni kawaida sana kwao mtu kuishi umbali wa km 100 toka anapotafutia ridhiki yake, na mwendo wote huo hakanyagi mchanga wala jiwe popote pale!
Kumaliza km 1,200 kwa wiki ni kawaida, tofauti na yule anayeishi Tabata, shughuli zake Posta, kwa wiki anatembea km 30
Kwa hiyo Mkuu unashauri tupige halafu tusiweke kambi sio?Wana roho mbaya sana hao ukiwa na hela hawachelewi kukufanyia mpango ukauawa wakaondoka na hela anawaita ndugu zake tu
Kwa maana ya km nyingi ndio kuchakaa kwa injini, inawezekana!