Gari za kununua South Africa zimetembea Kms sio poa!

Gari za kununua South Africa zimetembea Kms sio poa!

Wana toyota yao inaitwa venture sijui kama bado ipo kwenye uzalishaji,kipindi cha nyuma ziliingia bongo nyingi ama zote zikiwa used.Injini zao huwa zina nguvu sana,kuna kipindi ziliingia hilux zao hapa bongo za petrol zilikuwa balaa.
 
South Africa is as damn country as other African countries! Sasa si bora umvue mbongo mwenzako huwe mzalendo na uchangie nchi yako kwa kuingiza hela kwenye mzunguko! Eti unanunua used car from South Africa??? What a fu**ck!
 
Gari za SA vitu navyozingatia ni mwaka wa gari ni rahisi kupata gari SA miaka ya 2010 kuja mbele mpaka 2015 na hilo gari likiwa na historia nzuri ya Service bila kuruka na kwa bei ambayo inawezekana kulipwa...
Unaweza kununua gari SA kama ilikua na matunzo mazuri haufanyi kitu zaidi ya kuongeza maji na unafika nayo Dalsm...

Kama unajitaji gari nzuri nenda SA utapata gari nzuri kwa uchaguzi wako na kwa bei nzuri wengi wameenda na wamepata gari na yapo makampuni ambayo ukifika unapewa address zao unafanya nao biashara iliyonyooka...

Gari zao wanajali sana matunzo ya matengenezo kutoka kwa Mawakala wa hiyo kampuni ni mara chache sana ukanunua gari huku ikiwa mbovu na ipo yard...

Wao wana gari zao VW, Ford na Toyota zilizo kwenye fashion wananunua sana magari kwa kuangalia fashion kwa hiyo ukienda ukanunua gari iliyopitwa na fashion kwa SA kwetu bado ni mpya hiyo...
Upo sahihi 100% kuna bro wangu kanunu Ford ranger kama 60M ila ukiichek ni mpyaaaa lakini ukizama deep ni gari ambayo imesha tumika sana tu in KM 120K 😳
 
Hata mimi gari yangu ya kwanza nita nunulia SA kama Tz 🇹🇿 tuta kua bado magumashi naenda kujichagulia benz yangu kalii au Toyota iliyo enda shule second hand ita nitosha maana second hand ya kule bongo ni piruuu nyukwaaaa 🤣🇿🇦
 
Mtoa mada umefanya utafiti gani kuhusu hizi gari za kaburu au ndio stories za vijiweni?,sasa soma hii, gari za SA ni bora sana kulinganisha ni mikebe inayokuja nchini kwa meli na nchi inakuwa kama dumping area kwa uchafu huu, gari ya kaburu inatambaa yenyewe na elewa Joberg to Dar ni almost 3500km na ukitokea mother city to Dar ni zaidi ya 5000km, gari za Buru zipo imara sana, maana barabara zao na services za magari haya ni top class, tembea hapa Dar na linganisha gari za mikebe na za buru, royal families zote zinatumia gari za buru, ukihitaji pick up nenda kanunue kwa wakulima wa kikaburu ,saloons cars nenda kanunue kwenye Minada ya banks, epuka kununua gari kwenye showrooms za wapopo utapigwa, wapopo ni kenges wakubwa ndio maana ushelisheli imewapiga marufuku kuingia, hapa wanaingia kama choo
Wapopo ndo kina nan mkuu
 
Kule gari ambazo mmiliki alikua Mzungu ndo kama mpya. Pia, mademu wa kuokota tu tofauti na bongo demu anakusumbua miezi na miezi siku unapewa Kipochi unashnagaa mbona huyu mtunalikua msumbufu na **** mbovu tu
SA pisi za kumwaga na zinapatikana maeneo yote ndio maana sio wasumbufu wao ndio kwanza wanatafuta boy friend au wa wageni wa kuwaoa wanajua mambo yataenda Wageni wengi ni wapambanaji..
 
Back
Top Bottom