Gari za kununua South Africa zimetembea Kms sio poa!

Ushawahi kununua gari South?
 
South wengi hawanunui gari kwa Cash wengi wanachukua Financing kutoka Bank au Dealers. Hao dealers wanalipwa kila mwezi, wanafanya service wenyewe maana gari ni zao.

Ni kama Tanzania magari ya Voda, Tigo yanatolewa na kampuni zingine kabisa.

Ukienda hata pale CMC Auto Posta wanakupa utaratibu wa kulipa kila mwezi kupata Ford Platinum

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Noma sana!
 
Nipo SA , mkuu na kuhusu magari ni nabadilisha kila leo karibu
Mkuu SA unaweza kuendesha hata Range Rover ya 2023 shida hiyo Vellar iwepo bongo kwa namba za T....EAA kodi yake ni mara mbili ya bei ya Pretoria tunavyonunua SA ukiona mtu ana gari Tanzania ya SA kapambana kweli hizo Nissan pick up tu double cab za 2010 zinauzwa rand 70,000 kodi yake ni Tsh 18M kununua ni Tsh 9m..
 
Mkuu muignore, jamaa analeta story za vijiweni
Fresh wakiingia SA siku mbili tatu huwa wanapenda kuwakatisha tamaa wengine wakidhani ndio njia sahihi kwani mimi nikiwa na gari nzuri kutoka SA na mwingine akawa nayo shida ipo wapi hata mtoke mtaa mmoja...maana magari SA hatuwezi kuyamaliza hata twende vijiji na vijiji...
 
Yani gari unanunua milion 9 halafu Kodi milion 1

kweli hii ndio Tanzania *****
 
Yani gari unanunua milion 9 halafu Kodi milion 1

kweli hii ndio Tanzania *****
Na hiyo utaangalia mwaka wa chini ili usilipe kodi kubwa Tanzania wakati mwingine ukienda Yard unakuta gari hiyo hiyo unayohitaji ya 2015 na 2010 au 2007 bei hazijatofautiana ila ukiangalia kikokoteo cha TRA tofauti ya kodi ni kubwa mteja anachukua ya muda mrefu na anaacha ya mwaka wa karibuni kwa sababu ya Kodi kubwa...tunaendesha gari chakavu kwa sababu ya kodi kubwa sana ila huko Sokoni magari hayana bei kubwa kwa hizi used...
 
Kula tano hao jamaa wanajua kwenda na fashion za magari haswa na siku hizi hata matajiri wa malori wanachukua mtumba hapo bondeni ukija hapa kwetu unakuta ndio tolea jipya hata pale Saab Scania halipo
 
Hili la wapopo hili. Wapopo ningekuwa na ruhusu ningewapiga marufuku duniani kote, wabaki kwao tu. Kila sehemu waliyopo ni lazima wanaharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…