Gari za kununua South Africa zimetembea Kms sio poa!

Wana toyota yao inaitwa venture sijui kama bado ipo kwenye uzalishaji,kipindi cha nyuma ziliingia bongo nyingi ama zote zikiwa used.Injini zao huwa zina nguvu sana,kuna kipindi ziliingia hilux zao hapa bongo za petrol zilikuwa balaa.
 
South Africa is as damn country as other African countries! Sasa si bora umvue mbongo mwenzako huwe mzalendo na uchangie nchi yako kwa kuingiza hela kwenye mzunguko! Eti unanunua used car from South Africa??? What a fu**ck!
 
Upo sahihi 100% kuna bro wangu kanunu Ford ranger kama 60M ila ukiichek ni mpyaaaa lakini ukizama deep ni gari ambayo imesha tumika sana tu in KM 120K 😳
 
Hata mimi gari yangu ya kwanza nita nunulia SA kama Tz πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuta kua bado magumashi naenda kujichagulia benz yangu kalii au Toyota iliyo enda shule second hand ita nitosha maana second hand ya kule bongo ni piruuu nyukwaaaa πŸ€£πŸ‡ΏπŸ‡¦
 
Kule gari ambayo mmiliki Ni Mzungu Ni mpya
 
Wapopo ndo kina nan mkuu
 
Kule gari ambazo mmiliki alikua Mzungu ndo kama mpya. Pia, mademu wa kuokota tu tofauti na bongo demu anakusumbua miezi na miezi siku unapewa Kipochi unashnagaa mbona huyu mtunalikua msumbufu na **** mbovu tu
SA pisi za kumwaga na zinapatikana maeneo yote ndio maana sio wasumbufu wao ndio kwanza wanatafuta boy friend au wa wageni wa kuwaoa wanajua mambo yataenda Wageni wengi ni wapambanaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…