Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hujui sheria na ukieleweshwa na wanasheria unakuwa mbishiUko mwaka wa ngapi hapo CHUONI kiongozi??
Ndio maana umeambiwa hapo kuwa sheria hiyo inaambatana na sheria ya utumishi wa UMMA au huelewi nini hapo??
Jamaa amekaa TISS TISS maana Usiri mwingi....
Kwa sasa CIA wako busy kufukunyua ili wamjue
source : afdbgroup Annual Meetings 2022: Governor Statement, Tanzania 19 July 2022
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Huna unalojua.Hujui sheria na ukieleweshwa na wanasheria unakuwa mbishi
Sheria ya Benki Kuu imesema ni lazima gavana apewe kipindi cha pili! Unadhani waliotunga hawakujua kuna suala la umri? Na pia Sheria ya utumishi wa Umma hakuna ilipoelezea umri wa kustaafu wa Gavana
Kwa nafasi ambazo zimewekewa ivyo na sheria ni lazima. Kama haijawekwa hivyo kisheria basi sio lazima[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Huna unalojua.
Kwako wewe ukiteuliwa basi lazima utimize mihula miwili au sio??
AlishastaafuAnarudi zake faculty of law
Sifa za kuwa gavana zinajulikana. Hata profesa Luoga alikuwa nazoBenki Kuu, ndiyo taasisi inayoitegemewa kuandaa monetary and fiscal policies za nchi yoyote ,
-kwenye mtikisiko wa uchumi duniani uliosababishwa na ugonjwa wa Covid-19 na vita vya Urusi-Ukraine
- Gavana Ni vema akawa mbobezi kwenye masuala ya uchumi na fedha ili aweze kuongea lugha moja na mataifa na taasisi zingine za fedha na uchumi duniani kwenye masuala ya micro na macro economic policies .
-Mamlaka ya uteuzi inawezekana imezingia sifa hizo
-Siku za hivi karibuni Mamlaka za uteuzi zimekuwa zikiteua Gavana wa Benki Kuu kisiasa au kwa mtizamo kuwa ile Ni nafasi ya uongozi, siyo lazima awe mbobezi kwenye masuala ya uchumi na fedha,atasaidiwa na watalaam wa chini yake.
-Kama Gavana ni slow learner huwa kunakuwa na ombwe la kiutendaji kati ya Wasaidizi wake na Gavana.
-Kila la Heri Gavana mpya na kila Heri Gavana mstaafu,kuna maisha baada ya kustaafu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yaani tunampa u-governor mtu hajawahi fanya researches on economics and finance? It's too risky!Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BOT
Wasifu wa Gavana / Governor Emmanuel M. Tutuba / Biography / CV :
2019
Assistant Commissioner for Budget - Expenditure tracking and performance monitoring (Ministry of Finance and Planning)
Source : www.parliament.go.ke files : Report of the Auditor - General on African Institute for Capacity Development AICAD - Office of the Auditor General
- 1999-2001 : masters of business administration in corporate management MBA Corp MGT Mzumbe
- 1992-1994 : advanced Diploma in Economic Planning- ADEP (IDM Mzumbe)
- 1992-1994 : Advanced Secondary Education - Milambo secondary school
03 February 2020
Katibu Tawala wa mkoa RAS
Rais John Magufuli amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza leo tarehe 3 February 2020 Ikulu ya Dar es Salaam
Mjumbe wa Bodi ya REA
Kamishna Tume ya Madini
- Mr. Emmanuel Mpawe Tutuba - Rural Energy Board Director Rural Electrification Authority REA
Katibu Mkuu wizara ya fedha
- Emmanuel M. Tutuba commissioner Mining Commission
- Rais Samia Hassan leo tarehe 6 April 2021 amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa katibu mkuu wizara ya Fedha na Mipango
Gavana wa Benki Kuu BOT
- Leo tarehe 7 January 2023 Rais Samia Hassan amteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BOT
TUTUBA hana QUALIFICATION?? We jamaa unajua sifa za kuwa GAVANA lakini??Miaka 8 ya Magufuli na Samia wameharibu sana precedence ya civil services hasa kwenye senior post kwa kuweka unqualified people (not necessarily through academic).
Makatibu wakuu ambao hawajawai kufanya kazi katika utawala wa kiserikali na kuweka watu kwenye post wasizo kuwa na qualification nazo.
Huyo El Maamry ana sifa zote za kuwa waziri wa fedha kama ingempendeza raisi lakini sio katibu wizara ya fedha, ajafanya kazi kwenye utawala wa serikali.
Unless labda badala ya kumtimua Mwigulu (chawa wake mpendwa, kwa kuelemewa na kazi) Bi Tozo kaona amweke katibu mkuu mwenye uelewa mpana wa uchumi kumsaidia kazi na kumfunga speed governor kwenye tozo maana ndio kitu anachokijua Mwigulu (that’s my take).
Huyo Tutuba hakuwa na sifa ya kuwa katibu mkuu, governor wa BoT ndio kabisa hana qualification za uchumi wala banking experience.
Hiyo nchi aiwezi endelea miaka 800 kama civil services ni weak kuanzia juu. Strong civil services yenye weledi ndio heartbeat ya kila kitu usalama wa nchi, good governance, positive results and eventually a progressive society.
Ndio atukatai maraisi wana right ya kuchagua watu wanaodhani sahihi kwao, ila Bi Tozo sasa hivi she is abusing her powers and making a mockery of senior civil services posts.
Miaka 8 ya Magufuli na Samia wameharibu sana precedence ya civil services hasa kwenye senior post kwa kuweka unqualified people.
Makatibu wakuu ambao hawajawai kufanya kazi katika utawala wa kiserikali na kuweka watu kwenye post wasizo kuwa na qualification nazo.
Huyo El Maamry ana sifa zote za kuwa waziri wa fedha kama ingempendeza raisi lakini sio katibu wizara ya fedha.
Unless labda badala ya kumtimua Mwigulu (chawa wake mpendwa, kwa kuelemewa na kazi) kaona amweke katibu mkuu mwenye uelewa mpana wa uchumi kumsaidia kazi.
Huyo Tutuba hakuwa na sifa ya kuwa katibu mkuu, governor wa BoT ndio kabisa hana qualification za uchumi wala banking experience.
Hiyo nchi aiwezi endelea miaka 800 kama civil services ni weak kuanzia juu. Strong civil services yenye weledi ndio heartbeat ya kila kitu usalama wa nchi, good governance, positive results and eventually a progressive society.
Ndio maraisi wana right ya kuchagua watu wanaodhani sahihi kwao, ila Bi Tozo sasa hivi she is abusing her powers and making a mockery of senior civil services posts.
Previous banking experience and not short of masters in economy; nchi nyingi duniani ni Phd za economy tena wenye thesis za banking. Otherwise ni mwendo wa kuteua within the bureau tu.TUTUBA hana QUALIFICATION?? We jamaa unajua sifa za kuwa GAVANA lakini??
Soma hapa, wewe umekariri.Previous banking experience and not short of masters in economy; nchi nyingi duniani ni Phd za economy tena wenye thesis za banking. Otherwise ni mwendo wa kuteua within the bureau tu.
Ndio maana nchi nyingi duniani replacement huwa from within.Maneno mazito haya, lakini umefafanua vizuri point nyingi kuhusu umakini wa kuhakikisha mteuliwa aonekane ana uwezo maana pale BOT pana PhD holders kibao kali bila kusahau first degree zao na masters zilikuwa hatari sana pia wenye miaka mingi ndani ya utumishi wa Benki Kuu .
BOT kunadeputy governors wawili economists..lakini hawana WAnasheria wabobezi.. so Kumoga ilikiwa Sawa kuleta mix of experience.Tatizo tumakalilishwa kwamba governor lazima awe mchukue Tu wakati katiba unasema sofa za governorBenki Kuu, ndiyo taasisi inayoitegemewa kuandaa monetary and fiscal policies za nchi yoyote ,
-kwenye mtikisiko wa uchumi duniani uliosababishwa na ugonjwa wa Covid-19 na vita vya Urusi-Ukraine
- Gavana Ni vema akawa mbobezi kwenye masuala ya uchumi na fedha ili aweze kuongea lugha moja na mataifa na taasisi zingine za fedha na uchumi duniani kwenye masuala ya micro na macro economic policies .
-Mamlaka ya uteuzi inawezekana imezingia sifa hizo
-Siku za hivi karibuni Mamlaka za uteuzi zimekuwa zikiteua Gavana wa Benki Kuu kisiasa au kwa mtizamo kuwa ile Ni nafasi ya uongozi, siyo lazima awe mbobezi kwenye masuala ya uchumi na fedha,atasaidiwa na watalaam wa chini yake.
-Kama Gavana ni slow learner huwa kunakuwa na ombwe la kiutendaji kati ya Wasaidizi wake na Gavana.
-Kila la Heri Gavana mpya na kila Heri Gavana mstaafu,kuna maisha baada ya kustaafu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Safisana..watu wanalazimisha governor lazima awe economists..Hizi ni njema za wanauchumi kujipigia debeSoma hapa, wewe umekariri. View attachment 2473463
That statement is vagueSoma hapa, wewe umekariri. View attachment 2473463
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Finance, Accounting, Economics na Law. Hawa ndio wanasifa za kuwa GAVANA na kwa waziri wa FEDHA unaondoa hiyo LAW.Safisana..watu wanalazimisha governor lazima awe economists..Hizi ni njema za wanauchumi kujipigia debe
Mzee pita hiviiiiiiiii [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]That statement is vague
Kwa mfano any lawyer is qualified, can you appoint a criminal lawyer as governor.
Banking experience at what level can you appoint someone with an economy degree but has never even been a branch manager as governor.
On the other hand business lawyers study all manner of business undertaking, financial and accountancy makes sense but only if they have held senior banking posts.
Hiyo sheria ina mapungufu ya clarifications on wording it leaves large scope of interpretation; kama ni mahakamani judge anarudi kwenye hansard kuangalia bunge lilikusaidia ni watu gani specific yeyote kama sheria inavyosema au kuna other criteria’s.
OKMzee pita hiviiiiiiiii [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Miaka 8 ya Magufuli na Samia wameharibu sana precedence ya civil services hasa kwenye senior post kwa kuweka unqualified people (not necessarily through academic).