Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Hicho ni kitengo cha propaganda cha wazungu kuhamasisha ushoga Dunia.Hii mijitu huwa inaniudhi sana kwa kweli yaani kila siku iko busy kuhamasisha watu waone ushoga ni jambo la kawaida.Kama amri yangu yaani hadi mihela yao ya misaada kama nchi tungeikataa kabisa.
 
Huo ni mchezo wa aina gani?
 
Hii kitu nitakuwa wa mwisho kukubali. Uongo huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…