Hapo mambo mawili yanaweza husika.
Mosi, inawezekana huyo simba mwenye umbo dogo ni jike lakini ana manyoya shingoni. Majike ya simba ya namna hii wapo.
Pili, hiyo ni simba mmoja kuonyesha "dominance" kwa mwenzake.
Hii inatokea hata kwa mbuzi, ngombe na wanyama wengine.
Dominance maana yake ni kwamba simba mmoja dume anajaribu kuonyesha nguvu/mamlaka yake kwa mwingine.
Ni hali ya kawaida tu kwa wanyama.
Wanyama wanafanya "sex" kwaajili ya kuzaliana na si vinginevyo.
Dolphins pekee ndiyo wanafanya kwa starehe kama binadamu.
Simba hawezi kuwa shonga/homosexual
Hawajui hayo mambo