Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

Upanga wa chuma upo juu ya makobazi. Kazi iendeleee
 
Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?

Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.

Au hilo hulifahamu?
Upanga wa wana wa Yakobo hautawaacha salama hawa hamas. Na wakiingia Gaza ground ndio mjue hiyo Gaza inakuwa sehemu ya Israel na hawatatoka humo milele daima. Sema Takbirrrr 😂😂😂😀😀😁😁😁😬😬
 
Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
bdo hujasema [emoji23][emoji23]
 
Mmmh wangejua hulka ya muyahudi na mwarabu dhidi ya ngozi nyeusi wange ka kimya tu......naona ni limbukeni pamoja na elimu duni.
na utasema tu [emoji23]
 
Wewe huna akili mimi naeleza hali halisi kuwa waisraeli wengi wamekufa kuliko wapalestina.kuanzia sasa hivi ni wajinga tu ndio watakaokubali propaganda kuwa Israel au Mosad hawapigiki.
mapigo yanapiga palestina vifo vingi ni waisrael , yaan hapo bado
 
Halafu vya bandari kimyaaa. Huoni Media za Tanzania zikiongea ongeaa . Ila wakipata topic utaona media zote inaongelea live VIta. Ujingaaa
km ww upo uku platform ya matukio ya ndan atajadili nan?
 
Nadhanii HAMAS waliamini responce ya wanaowapa backup iyakuwa asap according to matukio


Lebanon wanafanya mistake kubwa kuhost mashambulizi ya Hezbollah kutupa makombora Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…