Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upanga wa chuma upo juu ya makobazi. Kazi iendeleeeHabari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza!
Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
Upanga wa wana wa Yakobo hautawaacha salama hawa hamas. Na wakiingia Gaza ground ndio mjue hiyo Gaza inakuwa sehemu ya Israel na hawatatoka humo milele daima. Sema Takbirrrr 😂😂😂😀😀😁😁😁😬😬Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?
Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.
Au hilo hulifahamu?
bdo hujasema [emoji23][emoji23]Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
bado hujasema [emoji23]Israel wanakimbilia 2000
bado hujasema [emoji23]Wanadai wanapata baraka kwa kujikomba kwa hao mabwana wa vita.
na utasema tu [emoji23]Mmmh wangejua hulka ya muyahudi na mwarabu dhidi ya ngozi nyeusi wange ka kimya tu......naona ni limbukeni pamoja na elimu duni.
yaan hapo bado ...mpk msemeNiondoe katika ujinga huo siwezi kabisa kushabikia upande wowote.
mapigo yanapiga palestina vifo vingi ni waisrael , yaan hapo badoWewe huna akili mimi naeleza hali halisi kuwa waisraeli wengi wamekufa kuliko wapalestina.kuanzia sasa hivi ni wajinga tu ndio watakaokubali propaganda kuwa Israel au Mosad hawapigiki.
km ww upo uku platform ya matukio ya ndan atajadili nan?Halafu vya bandari kimyaaa. Huoni Media za Tanzania zikiongea ongeaa . Ila wakipata topic utaona media zote inaongelea live VIta. Ujingaaa
mpk msemee....Elimu duni na ujinga vyote kwa pamoja...
Ni giza kama Tanzania tu maana hapa wamekata umeme kurudi ni majaaliwaumeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza!
Nadhanii HAMAS waliamini responce ya wanaowapa backup iyakuwa asap according to matukioHabari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza!
Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
Unaonaje ujifurahishe kabisa utamke WAMEKUFA MAYAHUDI 1,000,000?
ufanye na sherehe hapo kwako ushenzini ufurahie na wanao?
Serikali yote imeenda India kuuza nchi.Ni giza kama Tanzania tu maana hapa wamekata umeme kurudi ni majaaliwa
Upande upi wafike buku kumi???Hadi wafike 10000
SahihUpanga wa chuma upo juu ya makobazi. Kazi iendeleee
Nadhanii HAMAS waliamini responce ya wanaowapa backup iyakuwa asap according to matukio
Lebanon wanafanya mistake kubwa kuhost mashambulizi ya Hezbollah kutupa makombora Israel.
Mashoga mnaumia kumbeSahih
Wavaa pempaz wanaupiga mwingi