Gaidi wa kwanza alilianzisha tar 7
Mungu wako alidakwa alfajiri,wahuni wakakesha nae,palipokucha alikua hoi na kavalishwa nepi,alichofanywa usiku kucha na warumi Mimi na wewe tunajuaNpo na Allah hapa napiga nae story anasema alikimbia kuvuliwa nguo🤣angehojiwa na yy akiwa naked
Gaidi wa kwanza alianza mwaka 1948Gaidi wa kwanza alilianzisha tar 7
Kipigo gani mpaa mda hu hawajauwa hata kijana wa Hamasi au kushika mateka wa Hamasi, kakimbilia kushika wananchi wa kawaida eti Hamasi kumbe wengine ni wandishi wa habari 😄Eti kipigo,wenzio wanakufa kwa maelfu wewe unaleta siasa na kingine hayo ni magaidi ni lazima yaadhibiwe vikali sana.
Hizi ni hadithi za kuwafaa ma Rabbi uchwara kina Mpaji Mungu ,
MK254 na wa namna hiyo Goba Goba huko
Nyie jifurahisheni tu wanajeshi wengine waIsrael mpaa wamekuwa kipofu kwa lana wanazo shishies. S Mungu kwa kuonea watu wasio na hatia, afu wanajiuliza sababu gani.Eti kipigo,wenzio wanakufa kwa maelfu wewe unaleta siasa na kingine hayo ni magaidi ni lazima yaadhibiwe vikali sana.
Isael imeniboa sana kuwakamata, mlipaswa kuuawa...
View: https://twitter.com/i/status/1732862048474632490
Ndio namshangaa huyu mwanamgambo wa Israel toka Itigi kakurupuka kuja kudanganya Wanamgambo wenzake😂😂😂😂😂Aljazeera wanawabisha wanasema tv channel ya Israel ambayo ni wasemaji rasmi wa Israel mara wasema tumefananisha viatu vyao na Hamasi 😄 Mara lazima tufanye hivi ili wanamgambo wa Hamasi wajisalimishe 😄 Sa wanauliza swali Aljazeera tangu kuanze vita Israel kawahi onyesha hata mwanamgambo mmoja ha Hamasi wamemshika au wameuwa hamna vipi apate mara moja mateka vile 😄
Kingine kwa ujinga wao wameshika mpaa wandishi wa habari
View: https://youtu.be/QQX8mbk2VrM?si=SYt-1wOXGz8WFptJashangaa
Hamas hawana tabia za kishoga waambie idf wapambane na wanaume sio raia wawakomboe kwanza mateka wao sio mikwara mbuzi jeahi gani kwa zaidi ya miezi miwili limeahindwa kuokoa watu 200 kwa kieneo kidogo namna ile hawana akili kabisa umama mwingiJeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya
Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.
Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.
Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
Magaidi yote ndio basi tena lazima yasafishwe na Hamas itakuwa kama Muslim brotherhood,yaani haitakuwepo tena.Labda ibaki jangwani Sinai huko wawe wanaendelea kufanya ugaidi kwa kushtukiza kama wenzao Al nusra front.Nyie jifurahisheni tu wanajeshi wengine waIsrael mpaa wamekuwa kipofu kwa lana wanazo shishies. S Mungu kwa kuonea watu wasio na hatia, afu wanajiuliza sababu gani.
Hamasu hawamuwezi zisrael na Smerica na Europe hawana ubavu wa kumshinda, tutaona mwisho wa vita je Hamasi katolewa Gaza au kabaki.
Sa hivi nyie wakristo sikilizeni propoganda kama zile za Destruction weapon za Iraq 😄
Hakuna mwananchi wa kawaida hapo,hao wote ni magaidi yameanza kujitokeza kutoka mashimoni.Maji yakiwekwa kwenye mashimo mengi zaidi yatadakwa.Kipigo gani mpaa mda hu hawajauwa hata kijana wa Hamasi au kushika mateka wa Hamasi, kakimbilia kushika wananchi wa kawaida eti Hamasi kumbe wengine ni wandishi wa habari 😄
Walicho fanya ni kuwauwa badhi macommanda watutu tena kwa msada wa wale warabu wanafiki😄
DuhMamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Hapo hakuna cha skysoldier wala nini sijui - huyo ni MK 254 amekuja na alias name anafikiri watu hawana akili ya kung'amua hilo!Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.
Ahsante.
kwahiyo hamas wamejichanganya na raia wasio wa kawaida,ndo raia gani hao??Raia wa kawaida wapo Gaza ya Kusini.
Eneo la Gaza ya kaskazini kwa sasa ni la operesheni za kivita, Hamas vs IDF.
Muisrael mweusi wa Kimara suka anatoa tamko basha wake anakataa😂Hakuna mwananchi wa kawaida hapo,hao wote ni magaidi yameanza kujitokeza kutoka mashimoni.Maji yakiwekwa kwenye mashimo mengi zaidi yatadakwa.
Hayo yote ni magaidi hata huhitaji uchunguzi wa kina kujua.Kingine kwanini waislamu wa jf mnaongelea sana mambo ya hovyo na pia mnaongoza kuwa na lugha chafu,kwamba ninyi ndio mmehitimu haswaa mafundisho ya misikitini?Muisrael mweusi wa Kimara suka anatoa tamko basha wake anakataa😂
".....wengi walirudi kipindi cha usitishaji wa mapigano".Kuna raia Zaidi ya 300,000 bado wako gaza kaskazini na wengi walirudi kipindi cha usitishaji wa mapigano.