Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Mkuu; Hujaona undani wa suala lililopo baina ya makundi uliyoyataja hapo juu i.e. IDF na HAMAS. Zingatia kuna mchokozi na anayejitetea. Tukiachana au kuweka mambo ya Udini pembeni; HAMAS walianzisha mapigano kwa Israel. Je, Israel(IDF) akijitetea ni kosa? Kumbuka kujitetea hakuna kiwango.

Kama baba yangu atakuwa anakidhi vigezo vya kuitwa gaidi itakuwa ni sawa japokuwa sitafurahia matendo yake baba yangu yanayopelekea yy kuitwa gaidi. Ila Ugaidi sio lugha chafu ni neno (sifa mbaya)kama maneno mengine yanayotumika e.g. mamluki, mzalendo, mtanashati n.k.
Katika kujitetea Kuna viwango na Kuna sheria za vita je walijua hilo??
Kabla Hamas hajashambulia Israel je unafahamu kuwa IDF September ilikua ikivunja nyumba za wapalestina huko jenin west bank??
Unafaham kama September hiyo hiyo Israel settlers walipewa silaha na far right politician na kuanza kuwapiga risasi wapalestina mashambani???
Nani anajitetea kati ya Palestina na Israel??
Kuna mengi unaonekana huyajui Bora hata jamaa ulom qoute kaongea Cha maana.
Gaidi alifaa kuitwa Israel aliyeanza kuweka uzio baharini na nchi kavu na kuwatawala wenzake mpaka katika mitandao.
Ila we waonekana mtu wa vijiweni hufuatilii facts
 
BUDDAH HAKUNA WATOTO HUMU NDANI.
HAO WALIOKAMATWA NI RAIA WA KAWAIDA WA OCCUPIED WEST BANK.
HAMAS WOTE WAKO GAZA.
HAPO KUNA WAANDISHI WA HABARI KAMA WANNE WA ALJAZEERA HAKUNA MPIGANAJI HATA MMOJA WA HAMAS.
Kweli kabisa, hapo hakuna hamas hata mmoja maana hawa raia sura zao si ngeni mko nao mitaani hàlafu mtu mmoja anasema ni hamas.
 
Japo umeongea kikejeli CGTN Leo asubuhi imeripoti kuwa IDF imevamia westbank na kukamata raia wa kiume wakiwemo waandishi wa habari watatu was aljazeera.
Na hai jamaa ndio waliokamatwa
Au hutizamagi habari????
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Kwa dhati kabisa nawapongeza hawa wanamgambo wa Hamas walioamua kujisalimisha ili kuepuka vifo, mateso na kila baya.
Hii hatua walichelewa sana kuichukua, huu ndio ulikuw wito wangu toka hapo awali hapa JF.

Ukizidiwa na kujisalimisha huu ndio ujasiri na uhodari na sio woga.
 
Hao hapo ndo walio kamatwa na kudhalilishwa.
Screenshot_20231208-165455.jpg
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Mungu aweke amani katikati yao. Bita vikome.
 
Katika kujitetea Kuna viwango na Kuna sheria za vita je walijua hilo??
Kabla Hamas hajashambulia Israel je unafahamu kuwa IDF September ilikua ikivunja nyumba za wapalestina huko jenin west bank??
Unafaham kama September hiyo hiyo Israel settlers walipewa silaha na far right politician na kuanza kuwapiga risasi wapalestina mashambani???
Nani anajitetea kati ya Palestina na Israel??
Kuna mengi unaonekana huyajui Bora hata jamaa ulom qoute kaongea Cha maana.
Gaidi alifaa kuitwa Israel aliyeanza kuweka uzio baharini na nchi kavu na kuwatawala wenzake mpaka katika mitandao.
Ila we waonekana mtu wa vijiweni hufuatilii facts
Sikubaliani na ww kwamba katika kujitetea huwa kuna viwango.
Kwamba kabla HAMAS hajashambulia Israel, IDF ilikuwa ikivunja nyumba za Wapalestina huko Jenin West bank silkulisikia kwani mambo mengi huwa yanatangazwa rasmi katika vyombo vya habari. Kama ilikuwa ni siri baina yao mm nakubali s.jui.
Kwamba Israel settlers walipewa silaha........ sijui ww unazipata wapi hizo habari.
Nafahamu kwamba mahusiano baina ya nchi hizo mbili hayakuwa mazuri tangu zamani. Ile ya utupaji na kujibizana kwa makombora baina yao naifahamu. Lakini hii ya sasa HAMAS alijitokeza rasmi na kuanza mashambulio tar.7/0kt.2023.
Israel kwa defn. ya Ugaidi labda nkuulize anapingana na Serikali au Mfumo gani wa Kiserikali?
 
Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.

Ahsante.
Nenda AP ipo.Usitegemee hiyo kuona aljazira. Hata advance ya idf hawaipi airtime. Wao kuonyesha vitoto vimekufa na kujruhiwa ili kuwaonyesha dhuruma.kwa.watoto.
Wakati inajulikana duniani kote katika vita yeyote wanaoathirika ni watoto na wanawake.
 
Niwekee link mkuu wangu.
 
Kuvuliwa nguo vitani (hata hivyo wamevaa chupi na sio stripped naked)ni mojawapo katika kupekuliwa kwa usalama isije kuwa kuna aliyeficha silaha. Jamani tusikuze mno mambo. Hakuna udhalilishaji hapo.
Una ujinga mwingi sana miongoni mwa hao walio vuliwa nguo angekuwemo baba yako ungekuwa unaongea hayo?

Kwenye vita ya Ukraine na Urusi mpaka sasa ina miaka miwili umesha ona watu wana vuliwa nguo wakisha jisalimisha?

Alafu hao sio Hamas bali ni wafanya kazi wa umoja wa mataifa, waandishi wa habari na watoto ambao walikamatwa kwenye kambi ya wakimbizi.
 
Sikubaliani na ww kwamba katika kujitetea huwa kuna viwango.
Kwamba kabla HAMAS hajashambulia Israel, IDF ilikuwa ikivunja nyumba za Wapalestina huko Jenin West bank silkulisikia kwani mambo mengi huwa yanatangazwa rasmi katika vyombo vya habari. Kama ilikuwa ni siri baina yao mm nakubali s.jui.
Kwamba Israel settlers walipewa silaha........ sijui ww unazipata wapi hizo habari.
Nafahamu kwamba mahusiano baina ya nchi hizo mbili hayakuwa mazuri tangu zamani. Ile ya utupaji na kujibizana kwa makombora baina yao naifahamu. Lakini hii ya sasa HAMAS alijitokeza rasmi na kuanza mashambulio tar.7/0kt.2023.
Israel kwa defn. ya Ugaidi labda nkuulize anapingana na Serikali au Mfumo gani wa Kiserikali?
Kama hujui haya yote basi huna hadhi ya kuchangia mada inayo husu mgogoro huu maana hakuna unacho kijua juu ya mgogoro huu.
 
Mengi ya yanayosemwa ni propaganda na chuki za udini. Walioanzisha (HAMAS)walidai kusudi ni kuikomboa Ardhi yao iliyoporwa na Wayahudi. Lakini mashabiki wamebadili hilo na kuipa vita hiyo mtizamo wa Udini ili kupata sapoti ya mataifa ya Kiarabu.
IDF alisema lengo la kimsingi ni kuitokomeza HAMAS (Northern Gaza)lakini mashabiki wanasema ni kuwaangamiza watoto,wamama,wazee na miundombinu ya kijamii(shule,mahospitali n.k) ili IDF ionekane ni mkatili.
Turudi kwenye misingi ya vita hivyo na tuache blaa-blaa za ushabiki. Huko watu (Bila kujali ni Mpalestina au Myahudi) wanateseka, wanaumia na wengine wanapoteza maisha.
 
Ndio maana nimesema huna unacho kijua zaidi ya kuchangia kwa kusukumwa na chuki dhidi ya waisilamu iliyo kujaa moyoni mwako.

Kwahiyo sio kweli kuwa Israel inauwa watoto na wanawake na haishambulii hospital na kambi za wakimbizi? Kwahiyo hizo picha na taarifa tunazo ziona kwenye vyombo vya habari zikionesha watoto na wanawake wakitolewa chini ya vifusi ni za kutengeneza?

Ww jamaa huna akili kabisa acha tabia ya kufurahia matatizo ya wenzio wenda na ww ukaja kuyapitia matatizo hayo.
 
Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.

Ahsante.
Source ya picha na habari IDF na source ya raia wa kawaida Al Jazeera..
NB: KUMBUKA HAMAS FIGHTER,S WANAVAA KIRAIA ILI KUEPUKA KUONEKANA WAKATI WA MAPIGANO.
WANAVAAGA KIJESHI TU KWENYE KAMERA NA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI...
 
Back
Top Bottom