Katika kujitetea Kuna viwango na Kuna sheria za vita je walijua hilo??Mkuu; Hujaona undani wa suala lililopo baina ya makundi uliyoyataja hapo juu i.e. IDF na HAMAS. Zingatia kuna mchokozi na anayejitetea. Tukiachana au kuweka mambo ya Udini pembeni; HAMAS walianzisha mapigano kwa Israel. Je, Israel(IDF) akijitetea ni kosa? Kumbuka kujitetea hakuna kiwango.
Kama baba yangu atakuwa anakidhi vigezo vya kuitwa gaidi itakuwa ni sawa japokuwa sitafurahia matendo yake baba yangu yanayopelekea yy kuitwa gaidi. Ila Ugaidi sio lugha chafu ni neno (sifa mbaya)kama maneno mengine yanayotumika e.g. mamluki, mzalendo, mtanashati n.k.
Kabla Hamas hajashambulia Israel je unafahamu kuwa IDF September ilikua ikivunja nyumba za wapalestina huko jenin west bank??
Unafaham kama September hiyo hiyo Israel settlers walipewa silaha na far right politician na kuanza kuwapiga risasi wapalestina mashambani???
Nani anajitetea kati ya Palestina na Israel??
Kuna mengi unaonekana huyajui Bora hata jamaa ulom qoute kaongea Cha maana.
Gaidi alifaa kuitwa Israel aliyeanza kuweka uzio baharini na nchi kavu na kuwatawala wenzake mpaka katika mitandao.
Ila we waonekana mtu wa vijiweni hufuatilii facts