Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Npo na Allah hapa napiga nae story anasema alikimbia kuvuliwa nguo🤣angehojiwa na yy akiwa naked
Mungu wako alidakwa alfajiri,wahuni wakakesha nae,palipokucha alikua hoi na kavalishwa nepi,alichofanywa usiku kucha na warumi Mimi na wewe tunajua
 
Eti kipigo,wenzio wanakufa kwa maelfu wewe unaleta siasa na kingine hayo ni magaidi ni lazima yaadhibiwe vikali sana.
Kipigo gani mpaa mda hu hawajauwa hata kijana wa Hamasi au kushika mateka wa Hamasi, kakimbilia kushika wananchi wa kawaida eti Hamasi kumbe wengine ni wandishi wa habari 😄

Walicho fanya ni kuwauwa badhi macommanda watutu tena kwa msada wa wale warabu wanafiki😄
 
Eti kipigo,wenzio wanakufa kwa maelfu wewe unaleta siasa na kingine hayo ni magaidi ni lazima yaadhibiwe vikali sana.
Nyie jifurahisheni tu wanajeshi wengine waIsrael mpaa wamekuwa kipofu kwa lana wanazo shishies. S Mungu kwa kuonea watu wasio na hatia, afu wanajiuliza sababu gani.

Hamasu hawamuwezi zisrael na Smerica na Europe hawana ubavu wa kumshinda, tutaona mwisho wa vita je Hamasi katolewa Gaza au kabaki.

Sa hivi nyie wakristo sikilizeni propoganda kama zile za Destruction weapon za Iraq 😄
 
Ndi
Aljazeera wanawabisha wanasema tv channel ya Israel ambayo ni wasemaji rasmi wa Israel mara wasema tumefananisha viatu vyao na Hamasi 😄 Mara lazima tufanye hivi ili wanamgambo wa Hamasi wajisalimishe 😄 Sa wanauliza swali Aljazeera tangu kuanze vita Israel kawahi onyesha hata mwanamgambo mmoja ha Hamasi wamemshika au wameuwa hamna vipi apate mara moja mateka vile 😄

Kingine kwa ujinga wao wameshika mpaa wandishi wa habari

View: https://youtu.be/QQX8mbk2VrM?si=SYt-1wOXGz8WFptJashangaa

Ndio namshangaa huyu mwanamgambo wa Israel toka Itigi kakurupuka kuja kudanganya Wanamgambo wenzake😂😂😂😂😂
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Hamas hawana tabia za kishoga waambie idf wapambane na wanaume sio raia wawakomboe kwanza mateka wao sio mikwara mbuzi jeahi gani kwa zaidi ya miezi miwili limeahindwa kuokoa watu 200 kwa kieneo kidogo namna ile hawana akili kabisa umama mwingi
 
Nyie jifurahisheni tu wanajeshi wengine waIsrael mpaa wamekuwa kipofu kwa lana wanazo shishies. S Mungu kwa kuonea watu wasio na hatia, afu wanajiuliza sababu gani.

Hamasu hawamuwezi zisrael na Smerica na Europe hawana ubavu wa kumshinda, tutaona mwisho wa vita je Hamasi katolewa Gaza au kabaki.

Sa hivi nyie wakristo sikilizeni propoganda kama zile za Destruction weapon za Iraq 😄
Magaidi yote ndio basi tena lazima yasafishwe na Hamas itakuwa kama Muslim brotherhood,yaani haitakuwepo tena.Labda ibaki jangwani Sinai huko wawe wanaendelea kufanya ugaidi kwa kushtukiza kama wenzao Al nusra front.
 
Kipigo gani mpaa mda hu hawajauwa hata kijana wa Hamasi au kushika mateka wa Hamasi, kakimbilia kushika wananchi wa kawaida eti Hamasi kumbe wengine ni wandishi wa habari 😄

Walicho fanya ni kuwauwa badhi macommanda watutu tena kwa msada wa wale warabu wanafiki😄
Hakuna mwananchi wa kawaida hapo,hao wote ni magaidi yameanza kujitokeza kutoka mashimoni.Maji yakiwekwa kwenye mashimo mengi zaidi yatadakwa.
 
Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.

Ahsante.
Hapo hakuna cha skysoldier wala nini sijui - huyo ni MK 254 amekuja na alias name anafikiri watu hawana akili ya kung'amua hilo!
 
Raia wa kawaida wapo Gaza ya Kusini.

Eneo la Gaza ya kaskazini kwa sasa ni la operesheni za kivita, Hamas vs IDF.
kwahiyo hamas wamejichanganya na raia wasio wa kawaida,ndo raia gani hao??
 
Israel is claiming it is a “mass surrender” by Hamas fighters. Since when Hamas soldiers fight in sneakers and slippers? Those men were ambushed while evacuating and most of them are young teens or old men, not fighters.
 
Attachments

  • IMG_7633.jpeg
    IMG_7633.jpeg
    69.5 KB · Views: 2
Hakuna mwananchi wa kawaida hapo,hao wote ni magaidi yameanza kujitokeza kutoka mashimoni.Maji yakiwekwa kwenye mashimo mengi zaidi yatadakwa.
Muisrael mweusi wa Kimara suka anatoa tamko basha wake anakataa😂
 
Attachments

  • IMG_7632.jpeg
    IMG_7632.jpeg
    78.7 KB · Views: 1
Muisrael mweusi wa Kimara suka anatoa tamko basha wake anakataa😂
Hayo yote ni magaidi hata huhitaji uchunguzi wa kina kujua.Kingine kwanini waislamu wa jf mnaongelea sana mambo ya hovyo na pia mnaongoza kuwa na lugha chafu,kwamba ninyi ndio mmehitimu haswaa mafundisho ya misikitini?
 
BUDDAH HAKUNA WATOTO HUMU NDANI.
HAO WALIOKAMATWA NI RAIA WA KAWAIDA WA OCCUPIED WEST BANK.
HAMAS WOTE WAKO GAZA.
HAPO KUNA WAANDISHI WA HABARI KAMA WANNE WA ALJAZEERA HAKUNA MPIGANAJI HATA MMOJA WA HAMAS.
 
Kuna raia Zaidi ya 300,000 bado wako gaza kaskazini na wengi walirudi kipindi cha usitishaji wa mapigano.
".....wengi walirudi kipindi cha usitishaji wa mapigano".
Mkuu; Almanusra ningeyaamini maneno yako LAKINI ulipomalizia kwa hayo maneno niliyo quote hapo juu nimejua kwamba taarifa yako hiyo sio ya ukweli na sio sahihi kwani Ni nani mjinga arudi wakati hali ni tete na walishaambiwa ni kwa siku nne tu then mtifuano unaendelea kama kawa??? Labda awe ni HAMAS mana ndo zao hizo.
 
Back
Top Bottom