Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

BUDDAH HAKUNA WATOTO HUMU NDANI.
HAO WALIOKAMATWA NI RAIA WA KAWAIDA WA OCCUPIED WEST BANK.
HAMAS WOTE WAKO GAZA.
HAPO KUNA WAANDISHI WA HABARI KAMA WANNE WA ALJAZEERA HAKUNA MPIGANAJI HATA MMOJA WA HAMAS.
 
Hayo yote ni magaidi hata huhitaji uchunguzi wa kina kujua.Kingine kwanini waislamu wa jf mnaongelea sana mambo ya hovyo na pia mnaongoza kuwa na lugha chafu,kwamba ninyi ndio mmehitimu haswaa mafundisho ya misikitini?
Hao ni hawa-hawa wa huku mitaani na vijiweni. Sijawahi kusikia Msikitini au Madrasa wakifundisha lugha chafu. Halafu mdomo ni huohuo ndo unaotumika kula ugali.
 
Hayo yote ni magaidi hata huhitaji uchunguzi wa kina kujua.Kingine kwanini waislamu wa jf mnaongelea sana mambo ya hovyo na pia mnaongoza kuwa na lugha chafu,kwamba ninyi ndio mmehitimu haswaa mafundisho ya misikitini?
Ww kuita watu magaidi sio lugha chafu?
 

View: https://youtu.be/5QSN5Qzfhdg?si=0JY8W5vjh58o68K3

Hapo Kuna sura ya kujisalimisha???
 
"......Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi."
Hapana. Japokuwa vita ni vita, lakini kuna wakati mwingine vigezo na masharti huzingatiwa.
 

View: https://youtu.be/UeNapmsrUEU?si=rw0DqZRRzJE_JTEr

Wenyewe wamesema wanajiweza.
Hawatafanya makubaliano yeyote mpaka vita iishe.
 
Mara nyingi mi husoma tu hizi nyuzi zinazohusu IDF vs HAMAS, hivi nyie wabongo mnaojifanya mnaitetea sana HAMAS au mnaoitetea sana ISRAEL hua mnatumia kigezo kipi.

Kulingana na mauaji yanayoendelea mpaka wakati huu, vikundi vyote hivi vilipaswa kuitwa vya kigaidi na hakuna msafi kati yao mbele ya mungu.

Bado tunaendeleza ule utumwa wa fikra, eti unakuta wakristo wanaitetea Israel huku waislam wanaitetea Hamas.

SHAME ON YOU
 
Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
Kuna mengine wanameza tumboni😄😂😂
 
Ama kweli!! Upo msemo :"Akipenda chongo huita kengeza". Yani neno magaidi ni lugha chafu????
Ww ukisikia mtu ana muita baba yako gaidi utafurahi na kumpa zawadi?
 
Mkuu; Hujaona undani wa suala lililopo baina ya makundi uliyoyataja hapo juu i.e. IDF na HAMAS. Zingatia kuna mchokozi na anayejitetea. Tukiachana au kuweka mambo ya Udini pembeni; HAMAS walianzisha mapigano kwa Israel. Je, Israel(IDF) akijitetea ni kosa? Kumbuka kujitetea hakuna kiwango.
Ww ukisikia mtu ana muita baba yako gaidi utafurahi na kumpa zawadi?
Kama baba yangu atakuwa anakidhi vigezo vya kuitwa gaidi itakuwa ni sawa japokuwa sitafurahia matendo yake baba yangu yanayopelekea yy kuitwa gaidi. Ila Ugaidi sio lugha chafu ni neno (sifa mbaya)kama maneno mengine yanayotumika e.g. mamluki, mzalendo, mtanashati n.k.
 
Vigezo vya kuwa gaidi ni vipi?
 
Wange kua ni Wayahudi tunge sikia Wayahudi wa buza wakisema ni propaganda
 
Hawa watu wamekamatwa maeneo ambayo IDF walitoa Amri watu wote waondoke. Na pia wamekamatwa kwa sababu ni vijana wanaonekana kuwa na umri wa kuwa wapiganaji wa HAMAS, walichotakiwa kufanya ni kuondoka hayo maeneo kabla ya kukutwa. Sasa wanaulizwa walikuwa wanafanya nn hapo na waliambiwa waondoke, wanakosa majibu
 
Hao ni hawa-hawa wa huku mitaani na vijiweni. Sijawahi kusikia Msikitini au Madrasa wakifundisha lugha chafu. Halafu mdomo ni huohuo ndo unaotumika kula ugali.
Kuna jamaa anaitwa adriz huyu jamaa huenda kakulia kwenye malezi mazuri sana,maana hutowahi soma tusi,ila hawa wengine huenda wanapenda sana wanayosema,maana kila mara ni matusi na mambo ya laana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…