Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni hawa-hawa wa huku mitaani na vijiweni. Sijawahi kusikia Msikitini au Madrasa wakifundisha lugha chafu. Halafu mdomo ni huohuo ndo unaotumika kula ugali.Hayo yote ni magaidi hata huhitaji uchunguzi wa kina kujua.Kingine kwanini waislamu wa jf mnaongelea sana mambo ya hovyo na pia mnaongoza kuwa na lugha chafu,kwamba ninyi ndio mmehitimu haswaa mafundisho ya misikitini?
Ww kuita watu magaidi sio lugha chafu?Hayo yote ni magaidi hata huhitaji uchunguzi wa kina kujua.Kingine kwanini waislamu wa jf mnaongelea sana mambo ya hovyo na pia mnaongoza kuwa na lugha chafu,kwamba ninyi ndio mmehitimu haswaa mafundisho ya misikitini?
Na vyuo pia vinalipuliwa maana nyie mazombi hamna umuhimu wa elimu, hamtakiwi kwenye dunia ya leo Israel walipua chuo kikuu cha Al-Azhar University kule Gaza maana kilitumiwa na magaidi
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya
Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.
Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.
Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
"......Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi."... wanesikia kuna pump lenye capacity ya 60,000 ltrs per min (Guinness Record) linafungwa huko Mediterranean kujaza mashimo yao lazina watoke tu panya buku hao!
Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi. Huruma huruma zitawa-cost bila sababu.
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya
Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.
Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.
Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
Ama kweli!! Upo msemo :"Akipenda chongo huita kengeza". Yani neno magaidi ni lugha chafu????Ww kuita watu magaidi sio lugha chafu?
Kuna mengine wanameza tumboni😄😂😂Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
Ww ukisikia mtu ana muita baba yako gaidi utafurahi na kumpa zawadi?Ama kweli!! Upo msemo :"Akipenda chongo huita kengeza". Yani neno magaidi ni lugha chafu????
Mkuu; Hujaona undani wa suala lililopo baina ya makundi uliyoyataja hapo juu i.e. IDF na HAMAS. Zingatia kuna mchokozi na anayejitetea. Tukiachana au kuweka mambo ya Udini pembeni; HAMAS walianzisha mapigano kwa Israel. Je, Israel(IDF) akijitetea ni kosa? Kumbuka kujitetea hakuna kiwango.Mara nyingi mi husoma tu hizi nyuzi zinazohusu IDF vs HAMAS, hivi nyie wabongo mnaojifanya mnaitetea sana HAMAS au mnaoitetea sana ISRAEL hua mnatumia kigezo kipi.
Kulingana na mauaji yanayoendelea mpaka wakati huu, vikundi vyote hivi vilipaswa kuitwa vya kigaidi na hakuna msafi kati yao mbele ya mungu.
Bado tunaendeleza ule utumwa wa fikra, eti unakuta wakristo wanaitetea Israel huku waislam wanaitetea Hamas.
SHAME ON YOU
Kama baba yangu atakuwa anakidhi vigezo vya kuitwa gaidi itakuwa ni sawa japokuwa sitafurahia matendo yake baba yangu yanayopelekea yy kuitwa gaidi. Ila Ugaidi sio lugha chafu ni neno (sifa mbaya)kama maneno mengine yanayotumika e.g. mamluki, mzalendo, mtanashati n.k.Ww ukisikia mtu ana muita baba yako gaidi utafurahi na kumpa zawadi?
Vigezo vya kuwa gaidi ni vipi?Mkuu; Hujaona undani wa suala lililopo baina ya makundi uliyoyataja hapo juu i.e. IDF na HAMAS. Zingatia kuna mchokozi na anayejitetea. Tukiachana au kuweka mambo ya Udini pembeni; HAMAS walianzisha mapigano kwa Israel. Je, Israel(IDF) akijitetea ni kosa? Kumbuka kujitetea hakuna kiwango.
Kama baba yangu atakuwa anakidhi vigezo vya kuitwa gaidi itakuwa ni sawa japokuwa sitafurahia matendo yake baba yangu yanayopelekea yy kuitwa gaidi. Ila Ugaidi sio lugha chafu ni neno (sifa mbaya)kama maneno mengine yanayotumika e.g. mamluki, mzalendo, mtanashati n.k.
Uki-Google utapata definition ya Gaidi.Vigezo vya kuwa gaidi ni vipi?
Wana tutako laini mno.Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Kuna jamaa anaitwa adriz huyu jamaa huenda kakulia kwenye malezi mazuri sana,maana hutowahi soma tusi,ila hawa wengine huenda wanapenda sana wanayosema,maana kila mara ni matusi na mambo ya laana tu.Hao ni hawa-hawa wa huku mitaani na vijiweni. Sijawahi kusikia Msikitini au Madrasa wakifundisha lugha chafu. Halafu mdomo ni huohuo ndo unaotumika kula ugali.
Acha unonko leta vigezo vya mtu kuitwa gaidi.Uki-Google utapata definition ya Gaidi.
Uliwahesabu lini?Wanamgambo 3000 ndo wanawasumbua Israel mpaka leo?