Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Mbona Hama's walikua wanashangilia kuua wayahudi October 07 na wanasema mungu wao wa waarabu na waislam kua ni """MKUBWA"""
Wanaanzisha vita wanaua watu wanateka na wanabaka afu wanataka huruma ya watu?????
 
Mbona mkuu huzungumzii chuki ya waislamu na waarabu dhidi ya wayahudi na wakrsto???
Au ndio mkuki kwa nguruwe mtamu....ila kwa binadamu mchungu
 
Dawa ya moto ni moto ili heshima irudi.......walichokifanya October 07 walitegemea nn???
Zawadi za maua na pipi????
 
Propaganda video hyo ww hamas uwakamate wengi hvyo kwa wakati mmoja hao wakitembea wengi sana 4 unafikiria km idf wanatembea makundi km nyumbu wakipgwa kombora wanakufa 50 km walivyouawa juzi 60 kwa wakati mmoja
Hao nyumbu waarabu wanaujua mziki wao ......Kawaulize waarabu wa mashariki ya kati watakuadithia unyumbu wa IDF
 
Mkuu; Nikujulishe tu kwamba hapa nilipo ni katikati ya eneo lenye Waislamu wengi na wengi wao ni marafiki zangu na tunashirikiana sana katika heri na taabu zote e.g. misiba, harusi, sherehe na hata kusafisha makaburi ya wenzetu waliotangulia mbele za Haki na sherehe mbalimbali za kidini.n.k. Ni ndugu zangu. Hatubaguani kwa namna yoyote ile.
Hili la vita, mm na ww ni wasikilizaji na wasomaji tu wa yale yanayoendelea huko. Hakuna mwenye uhakika na ukweli halisi wa kile tukisomacho mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Sisi tubishane tu kwa ushabiki lakini aliyeko eneo la tukio ndo mwenye kujua uhalisia wa mambo.
Inawezekana nikawa sina akili lakini sifurahii hata kidogo madhila yanayowakuta hao - sio Wapalestina au Wayahudi. Wate hao ni watoto wa Mungu.
 
Source ya picha na habari IDF na source ya raia wa kawaida Al Jazeera..
NB: KUMBUKA HAMAS FIGHTER,S WANAVAA KIRAIA ILI KUEPUKA KUONEKANA WAKATI WA MAPIGANO.
WANAVAAGA KIJESHI TU KWENYE KAMERA NA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI...
Sasa huo si ni Uoga kabisa?. Kidume vaa combat ujulikane ww ni nani na upambane sio kuvaa baibui halafu huku kwapani umeficha AK47 na kujibanza nyuma ya makalio ya akina mama 😳.
 
Mbona Hama's walikua wanashangilia kuua wayahudi October 07 na wanasema mungu wao wa waarabu na waislam kua ni """MKUBWA"""
Wanaanzisha vita wanaua watu wanateka na wanabaka afu wanataka huruma ya watu?????
Hawastahili kuhurumiwa hata kidogo. Ngoja Wavune walichokipanda tar.07 Oct 2023. Machozi ya samaki baharini.
 
πŸ˜„ Aibu wamekosa wanajeshi mpaa huyu mama kawa mwanajeshi ataweza wapi kupigana na Hamasi, hakuna silaha ilio ingia Gaza haikunguzwa, tazama silaha ya robo million dollar ina lipuliwa na Yasin 105 bei yake hata haifiki dollars 100 πŸ˜„

View: https://youtube.com/shorts/r2IVExTYZDI?si=z9hXyfRTSwSOJGpG
Wamarekani wanamwambia Rais biden awachane na ujinga, huko America wameshindwa wataweza kushinda nje ya America

View: https://youtube.com/shorts/fyQEBp-pSoE?si=at-QrbQZEuWx1IW3
 
Mbona mkuu huzungumzii chuki ya waislamu na waarabu dhidi ya wayahudi na wakrsto???
Au ndio mkuki kwa nguruwe mtamu....ila kwa binadamu mchungu
Ww elimu yako uliyo soma uliharibu hela tu na muda wako bure maana haijawahi kukusaidia chochote,maana point zako unazo ziandikaga huwa ni nyepesi mno kuliko hata za mtu aliye ishia la 7.
 
Unaishi nao kinafiki ila moyoni mwako umejaa chuki kubwa dhidi yao.
Haufurahii kinacho endelea wakati huo unatetea na kuunga mkono kile kinacho fanywa na Israel?
Tena unayaita madhira wanayo yapitia wapalestina eti ni propaganda.

Acha unafiki.
 
Ww elimu yako uliyo soma uliharibu hela tu na muda wako bure maana haijawahi kukusaidia chochote,maana point zako unazo ziandikaga huwa ni nyepesi mno kuliko hata za mtu aliye ishia la 7.
Mkuu umekwepa maswali yangu sababu ya ubnafsi wa kidini
 
Unaishi nao kinafiki ila moyoni mwako umejaa chuki kubwa dhidi yao.
Haufurahii kinacho endelea wakati huo unatetea na kuunga mkono kile kinacho fanywa na Israel?
Tena unayaita madhira wanayo yapitia wapalestina eti ni propaganda.

Acha unafiki.
Islam state of mind!!!
 
Mkuu acha kujifariji,,,,,,kichapo kinaendelea huko.
Si walikua wanashangilia October 07
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…