Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mbona Hama's walikua wanashangilia kuua wayahudi October 07 na wanasema mungu wao wa waarabu na waislam kua ni """MKUBWA"""Ndio maana nimesema huna unacho kijua zaidi ya kuchangia kwa kusukumwa na chuki dhidi ya waisilamu iliyo kujaa moyoni mwako.
Kwahiyo sio kweli kuwa Israel inauwa watoto na wanawake na haishambulii hospital na kambi za wakimbizi? Kwahiyo hizo picha na taarifa tunazo ziona kwenye vyombo vya habari zikionesha watoto na wanawake wakitolewa chini ya vifusi ni za kutengeneza?
Ww jamaa huna akili kabisa acha tabia ya kufurahia matatizo ya wenzio wenda na ww ukaja kuyapitia matatizo hayo.
Wanaanzisha vita wanaua watu wanateka na wanabaka afu wanataka huruma ya watu?????