Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Waarabu na waislamu watu wa maneno mengiiiiHao jamaa (HAMAS et al) wana maneno meeengi lakini Jamaa (IDF)nawaonesha na kuzungumza kwa MATENDO. Watapiga kelele sana.
Waarabu bhana kwa ngonjera wanajitahidiHawastahili kuhurumiwa hata kidogo. Ngoja Wavune walichokipanda tar.07 Oct 2023. Machozi ya samaki baharini.
... wanesikia kuna pump lenye capacity ya 60,000 ltrs per min (Guinness Record) linafungwa huko Mediterranean kujaza mashimo yao lazina watoke tu panya buku hao!
Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi. Huruma huruma zitawa-cost bila sababu.
Waliambiwa wapalestina wote wahame wabaki wapiganaji. Sasa hawo waliobaki ni wapiganaji. Na walichagua kufa na ndio wanatekelezewa kiapo Chao cha kufa. Wawalete kwenye mto Nile na wengine kwenye mabwawa yetu wawape mamba wawalePunguza chuki ww mrokole uchwara mpaka sasa hakuna ushahidi wowote unao onesha kuwa hao ni wapiganaji wa Hamas.
Hiyo Israel yenu vita inewashinda wameanza kukamata kila mwanaume wakihofia kuwa ni Hamas, hao wanaume unao waona hapo wakifanyiwa hivyo baada ya Israel kuivamia kambi moja wapo ya wakimbizi huko gaza kusini kwa madai kuwa ni kambi ya hamas lakini mpaka sasa hawajapata huo ushahidi wa madai yao.
Kama wameteka wahandishi wa Aljazeera hawo na wao wawauwe tuuuu na wenyewe wapo kwy kuwafadhili HamasWamejichanganya wakateka n waandishi wa habari😂
Ngoja maji yajae kwy mashimo ndio utajua hamasa Wana akili au wajingaKwanza ni mjinga pekee anaeamini wapigania uhuru kama hamas wanaweza wakajirundika sehem moja hvyo kama dagaa wanaongoja kuvuliwa
Yaani hamas mmoja tu kumkamata unatakiwa ufanye kazi
Israhell anatapa tapa kwasasa atakae mkalia mbele kwake yeye anakua hamas anabeba
Mayahudi yamekua muflis wanaona kama wanapigana na majini
Walijua labda hamas wataishiwa vyakula waombe poo au waishiwe na silaha matokeo yake hesabu zao zimeenda kombo
Baada ya hiki kinachoendelea ghaza yaani mayahudi wataiogopa ghaza kama hawana akili nzuri
Na ghaza ndio litakua sehem ambalo wapalestine wanaishi kwa amani kuliko popote pale kwenye ardhi zao huko
Wewe kichaaa mkubwa ktk kambi lazima mjirundike muweze kupata mahitaji Kama chakula maji na kufanya mawasiliano ya kujua malengo yanaendaje unafikiri Vita inaenda bila kupata mahitaji. Hamjui Mambo ya Vita lakini umbeya umbeya jamii forum wa kutoshaKwanza ni mjinga pekee anaeamini wapigania uhuru kama hamas wanaweza wakajirundika sehem moja hvyo kama dagaa wanaongoja kuvuliwa
Yaani hamas mmoja tu kumkamata unatakiwa ufanye kazi
Israhell anatapa tapa kwasasa atakae mkalia mbele kwake yeye anakua hamas anabeba
Mayahudi yamekua muflis wanaona kama wanapigana na majini
Walijua labda hamas wataishiwa vyakula waombe poo au waishiwe na silaha matokeo yake hesabu zao zimeenda kombo
Baada ya hiki kinachoendelea ghaza yaani mayahudi wataiogopa ghaza kama hawana akili nzuri
Na ghaza ndio litakua sehem ambalo wapalestine wanaishi kwa amani kuliko popote pale kwenye ardhi zao huko
Wanamgambo 3000 ndo wanawasumbua Israel mpaka leo?
Mtakoma tu
Maneno meengi mara oooh IDF mashoga!!!
Mara wanaogopa kuingia Gaza
Sasa hapa naona mashoga na Hamas,,,nani mbabe
View attachment 2837136
Wewe point na coment zako nyingi haziendani na usomi unao jinasibu nao wala umri ulio nao, yaani una point za kitoto na mambo ya kitoto.Mkuu umekwepa maswali yangu sababu ya ubnafsi wa kidini
Waondoke waende wapi hali ya kuwa hapo ni nyumbani kwao?Waliambiwa wapalestina wote wahame wabaki wapiganaji. Sasa hawo waliobaki ni wapiganaji. Na walichagua kufa na ndio wanatekelezewa kiapo Chao cha kufa. Wawalete kwenye mto Nile na wengine kwenye mabwawa yetu wawape mamba wawale
Wewe point na coment zako nyingi haziendani na usomi unao jinasibu nao wala umri ulio nao, yaani una point za kitoto na mambo ya kitoto.
Kudhihilisha hilo ebu tizama picha ulizo ziweka hapo ,mtu aliye soma aka elimika hawezi kufurahia au kuchekelea kwa watu kuvuliwa nguo na kurekodia dunia nzima inaona.
Na mbaya zaidi hao walio valishwa uchi wamekutwa sio Hamas na wala hawana uhusiano wowote na hamas na wamesha achiwa lakini tukio la kuwadhalilisha litadumu vichwani mwao milele.
Hivi hiyo point yako ya waisilam kuwachukia wakristo na wayahudi huwa unaitoa kwa mantiki ipi hasa?
Kila siku umekalia kusema waisilam wanawachukia wayahudi lakini katika historia hakuna sehemu yeyote ambayo waisilam walisha shiriki kutesa na kuuwa wayahudi zaidi ya nyinyi wakristo, nyinyi wakristo ndo mna historia ya kuuwa na kutesa wayahudi kwa mamia ya miaka na sio waisilam acha kujitoa ufahamu.
Hao Wapalestina wameishi na wayahudi kwa miingo kadhaa kabla ya mgogoro kuanza mwaka 1947.
Yaani mtu akikosoa Israel basi ni ana wachukia Wayahudi?, kwahiyo siku hizi ukiikosoa serikali ya ccm basi hiyo ni chuki dhidi ya watz.
Hao waisilamu wanao wachukia wakristo ni wapi hasa bona siwaoni?
Mm ninacho kijua ni kuwa wakristo ni mabingwa wa chokochoko dhidi ya waisilamu hasa humu jf.
Mbona mkuu huzungumzii chuki ya waislamu na waarabu dhidi ya wayahudi na wakrsto???
Au ndio mkuki kwa nguruwe mtamu....ila kwa binadamu mchungu
Nyinyi msio na chuki na hao wayahudi mbona ndo mna historia ya kitesa na kuuwa mamilioni ya Wayahudi kwa mamia ya miaka?Huwa wanaangalia kwa macho ya kengeza! Chuki ya Waislamu dhidi ya Wayahudi ina msingi wa dini......Ukisoma Charter ya Hamas, iko wazi mno...