Wewe point na coment zako nyingi haziendani na usomi unao jinasibu nao wala umri ulio nao, yaani una point za kitoto na mambo ya kitoto.
Kudhihilisha hilo ebu tizama picha ulizo ziweka hapo ,mtu aliye soma aka elimika hawezi kufurahia au kuchekelea kwa watu kuvuliwa nguo na kurekodia dunia nzima inaona.
Na mbaya zaidi hao walio valishwa uchi wamekutwa sio Hamas na wala hawana uhusiano wowote na hamas na wamesha achiwa lakini tukio la kuwadhalilisha litadumu vichwani mwao milele.
Hivi hiyo point yako ya waisilam kuwachukia wakristo na wayahudi huwa unaitoa kwa mantiki ipi hasa?
Kila siku umekalia kusema waisilam wanawachukia wayahudi lakini katika historia hakuna sehemu yeyote ambayo waisilam walisha shiriki kutesa na kuuwa wayahudi zaidi ya nyinyi wakristo, nyinyi wakristo ndo mna historia ya kuuwa na kutesa wayahudi kwa mamia ya miaka na sio waisilam acha kujitoa ufahamu.
Hao Wapalestina wameishi na wayahudi kwa miingo kadhaa kabla ya mgogoro kuanza mwaka 1947.
Yaani mtu akikosoa Israel basi ni ana wachukia Wayahudi?, kwahiyo siku hizi ukiikosoa serikali ya ccm basi hiyo ni chuki dhidi ya watz.
Hao waisilamu wanao wachukia wakristo ni wapi hasa bona siwaoni?
Mm ninacho kijua ni kuwa wakristo ni mabingwa wa chokochoko dhidi ya waisilamu hasa humu jf.